Você procurou por: muongozo (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

muongozo

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

muongozo huo bado ni kazi inayooendelea, kwa hiyo tunatafuta msaada kutengeneza na kutoa matokeo.

Inglês

the guide is a work-in-progress, so we are looking for help to create it and/or to give feedback.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

gumzo la ijumaa litalenga masuala kama vile uanzishwaji makundi maalum ya kazi au vitengo kwa ajili ya mchakato wa kutengeneza muongozo wa kublogu vyema kadhalika gumzo hilo litajadili kuhusu aya na na mada zipi zijumuishwe kwenye muongozo.

Inglês

friday's chat will focus on issues such as forming working groups for the blogging positively guide and discussing what chapters and topics to include in it.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwanini tusiwaache hawa watoto kwanza… au labda serikali ijaribu kuweka sheria ya kudhibiti malezi, ambayo kwayo ndani yake wazazi wapewe mafunzo endelevu au warsha ambazo zitawawezesha kwa kuwapa elimu inayofaa katika kuwapa watoto wao muongozo mzuri wakati wanakua.

Inglês

or maybe government should try to impose a law of proper parenting, where in parents are given some constant trainings or symposiums that will equip them with proper knowledge in giving their children the right guidance as they grow up.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

gumzo la tarehe 27 mwezi wa pili lilitoa tamko kama vile umuhimu wa kublogu kwa watu walioathirika na virusi vya ukimwi na jukumu katika upelekaji na ushawishi wa maarifa,lakini kikubwa lililenga kwenye muongozo wa kublogu vyema ,muongozo ulitengenezwa na global voices kutoa ushauri tunu jinsi ya kublogu kuhusu masuala ya virusi vya ukimwi na ukimwi.

Inglês

the february 27th chat addressed issues such as why blogging can be important for people affected by hiv/aids and the vital roles of mentoring and advocacy, but it mainly focused on the blogging positively guide, a guide being created by global voices to provide valuable advice on how to blog about hiv/aids issues.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,740,525,459 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK