Você procurou por: mwitikio (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

mwitikio

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

nimeona mwitikio.

Inglês

i’ve seen all the reactions.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwitikio kwenye twita

Inglês

twitter response

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwitikio kama huu unaonekana kuonyesha hisia hizo.

Inglês

this particular reaction seems as vehement as it is futile.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

yaelekea kuna mwitikio kutoka kwenye mamlaka kuhusiana na filamu ya usov.

Inglês

there seems to have been no reaction from the authorities to usov's film yet.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

yevgeniy ikhelzon alishangazwa na mwitikio mdogo wa watu kufuatilia mswada huu:

Inglês

user yevgeniy ikhelzon wondered why so little public reaction followed the introduction of the bill:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwitikio wa wasomaji kwa maoni ya opoku-manu yanaonekana kuwa hasi zaidi.

Inglês

responses to opoku-manu’s comment seem to be mostly in the negative.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

@teamkonshens1: inaonyesha namna mwitikio wa vikosi vya dharura ulivyo duni!

Inglês

@teamkonshens1: just shows how incompetent our emergency response teams are!!

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwitikio wa awali kabisa wa wananchi wa korea kusini kwa habari hizi ulikuwa ni taharuki.

Inglês

the south korean public's initial response to the news was pure shock.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

matayarisho ya magonjwa ya kuambukizwa na mipango ya mwitikio huweza kufuata mapendekezo ya taifa au eneo fulani.

Inglês

infectious disease preparedness and response plans may be subject to national or subnational recommendations.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kutokuwepo kwa mwitikio wa kimataifa kwenye shambulio la garissa ukilinganisha na lile la charlie inaonesha jinsi dunia isivyojali wengine

Inglês

lack of international reaction to the #garrisaattack compared to #jesuischarlie shows how little the world cares about #africanlivesmatter — shekhar kapur (@shekharkapur) april 5, 2015

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

alikuwa pale kama mwandishi, akiwa na haki ya kisheria kuwa pale kuripoti shughuli za chadema na mwitikio wa polisi.

Inglês

he was there as a journalist, with a legitimate right to be there and to report on chadema's activities and the police's response.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

shule ambazo zilifungwa kwa muda wastani wa wiki 4 kulingana na uchunguzi ya mwitikio wa miji 43 marekano kwa homa ya mafua ya uhispania.

Inglês

schools closed for a median duration of 4 weeks according to a study of 43 us cities' response to the spanish flu.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kama wengi walivyoonesha, mwitikio wa dunia kwa ujumla umekuwa mdogo kwa kulinganisha na matukio ya watu wengi kupoteza maisha yao kwa wakati mmoja hivi karibuni.

Inglês

as many pointed out, worldwide reactions have generally been much less noticeable in comparison to recent incidents of similarly large losses of lives.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

shirika la muungano wa kiuchumi na maendeleo imeanzisha jukwaa ya kutoa taarifa kwa wakati na kamili ya mwitikio wa sera katika nchi kote ulimwenguni, pamoja na maoni na mashauri.

Inglês

the organisation for economic co-operation and development has launched a platform to provide timely and comprehensive information on policy responses in countries around the world, as well as viewpoints and advice.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwisho lakini si kwa uzito ni mwitikio wa vladimir putin mwenyewe, aliyeliambia shirika la habari la itar-tass kwamba kyiv inawajibika kwa anga la ukraine mashariki inayodhibitiwa na waasi.

Inglês

last but not least is the reaction of vladimir putin himself, who told itar-tass that kyiv is accountable for the skies over ukraine's rebel-controlled east.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

ghasia wakati wa nyakati zajioni za tarehe 19 na 20 mwezi mei, 2014 zilikuwa ni mwitikio wa mauaji ya kijana asiye na hatia mwenye umri wa miaka 19 aliyekuwa ndio kwanza amemaliza sekondari baada ya yeye na baba yake kumfukuza mwizi aliyekuwa ameiba baiskeli yao.

Inglês

the riots during the evenings of 19 and 20 may, 2014 were a reaction to the killing of a 19-year-old recent high school graduate after he and his father chased a thief who had stolen a bicycle.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwisho, usafirishaji wa bidhaa kutoka maeneo zilizoathirika vibaya na covid-19 huweza kukatizwa.mipango ya matayarisho na mwitikio wa ugonjwa wa kuambukizwa huweza kutumiwa kuongoza hatua za ulinzi.

Inglês

lastly, shipments of items from geographic areas severely affected by covid-19 may be interrupted.an infectious disease preparedness and response plan can be used to guide protective actions.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hong kong iliongeza hali ya mwitikio wa magonjwa ya kuambukizwa hadi hali ya juu zaidi na kutangaza hali ya dharura, na kufunga shule hadi machi na kufuta sherehe za mwaka mpya.sekta ya biashara ya rejareja imeathirika kimataifa, na kupungzwa kwa masaa ya kazi au kufungwa kwa muda.

Inglês

hong kong raised its infectious disease response level to the highest and declared an emergency, closing schools until march and cancelling its new year celebrations.the retail sector has been impacted globally, with reductions in store hours or temporary closures.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

baadhi ya wasimamizi katika mkoa wa chama cha kikomunisti ya uchina (cpc) walifutwa kufuatia jinsi walishughulikia juhudi za karantini uchini wa kati, ishara ya kutoridhika na mwitikio wa wanasiasa kwa mkurupuko katika maeneo hayo.

Inglês

a number of provincial-level administrators of the communist party of china (cpc) were dismissed over their handling of the quarantine efforts in central china, a sign of discontent with the political establishment's response to the outbreak in those regions.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

bali iliripotiwa kama mahali iliyo na uwezo duni kati ya vituo vipendavyo zaidi 20 ya miji katika matayarisho, ilhali miji australia zilidhaniwa kuwa na matayarisho nzuri.australia ilitoa mpango wa mwitikio wa hali ya dharura ya virusi vya korona geni (covid-19) mnamo 7 february.

Inglês

bali was reported as least able among the 20 most popular destination cities in terms of preparedness, while cities in australia were considered most able.australia released its emergency response plan for novel coronavirus (covid-19) on 7 february.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,782,867,679 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK