Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
walitumia myeyusho wa kuua virusi unaotumiwa hospitalini ili kutakasa kila mahali, hata pia ukumbini na ngazi zinazofikia sakafu yetu.
they utilized a hospital-grade anti-viral solution to disinfect every surface, as well as the lobby and elevator banks accessing our floor.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the streamed video images showed surviving children laid next to each other kwa kubanana kwenye dawati huku wakigawiwa maji ambayo ni myeyusho wa chumvi na maji.
the streamed video images showed surviving children laid next to each other crammed on a desk and saline water being administered.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kitendo kama hicho cha kuua bakteriaviini kinaweza kuhitajika kabla ya kufanya upasuaji au katika mandhari ambayo viini ambavyo ni sugu kwa dawa za kuzuia na kuua bakteria vipo kwa wingi.ili 'kusugua' mikono yako kwa upasuaji, ni muhimu kuwa na mfereji unaoweza kufunguliwa na kufungwa bila kuushika kwa mikono, kiasi cha kloroeksidini au myeyusho wa iodini, taulo zilizofishwa vimelea za kupangusa mikono baada ya kuosha, na brashi iliyofishwa vimelea ya kusugua na kifaa kingine kilichofishwa vimelea cha kusafisha chini ya makucha.
such killing action may be desired prior to performing surgery or in settings in which antibiotic-resistant organisms are highly prevalent.to 'scrub' one's hands for a surgical operation, it is necessary to have a tap that can be turned on and off without touching it with the hands, some chlorhexidine or iodine wash, sterile towels for drying the hands after washing, and a sterile brush for scrubbing and another sterile instrument for cleaning under the fingernails.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade: