A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
nafanya mazoezi kwa umakini
Última atualização: 2024-03-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kusimamia visiting day ifanyike kwa umakini
supervising the profession
Última atualização: 2024-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tafadhali jaza kwa umakini ili kuepusha mkaanganyiko
for further instructions do not hesitate to contact us
Última atualização: 2022-01-26
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
lakini tunapaswa kuchukulia kila maumivu ya kifua kwa umakini mkubwa
but we need to treat every chest pain with the utmost seriousness
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
walikaa na mpira kwa umakini na uangalifu na kutawala kipindi chote cha kwanza.
they handled the ball with pace and fluency and controlled the tempo throughout the first half.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kuhusu utendaji kila mfanya kazi anapaswa kujua a na kuelewa kila anachofanya katika kazi yake kwa umakini na usalama ili kujiepusha na ajali au kukosea kwa jambo
regarding performance every worker should know a and understand everything he is doing in his job carefully and safely to avoid accidents or mistakes in a matter
Última atualização: 2023-03-09
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
ninawapongeza wote waliofanya kazi kimya kimya, pasipo kuchoka na kwa umakini mkubwa kwa miaka yote hii ili kupigania manufaa ya umma mpana zaidi.
i celebrate all who have worked silently, tirelessly and with so much care all these years for the greater good of others.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kupatikana kwa mafuta ghana kama hakutashughulikiwa kwa umakini kunaweza kusababisha ghasia zinazofanana na kile kinachotokea naijeria kwenye eneo la delta ya naija lenye vurugu kubwa.
ghana’s oil find if not properly managed could spell crisis comparable to what is happening in nigeria’s restive niger delta region.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
lakini pia anakasirishwa na kukosekana kwa umakini na kwa kazi ya kuzibaziba tu viraka iliyofanyika (kama vile kuruhusu kwa wafanyakazi wa muda) kulikoonyeshwa katika kujaribu kuuweka sawa mfumo huo.
but he is also disgusted with the apathy and the patchwork solutions (like a cap on temp. workers) shown in an attempt to fix the system.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
tillah willah alimwandikia barua goodluck jonathan, kutoa wito wa kulichukulia suala la "kupotea kwa wasichana 234 wa shule ya chibok, borno ... kwa umakini na uharaka zaidi."
tillah willah sends a letter to goodluck jonathan, asking that he treat "the disappearance of the 234 school girls in chibok, borno...with a bit more urgency."
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
mwanasheria anayeheshimika na mhadhiri kwenye chuo kikuu cha ghana, kitivo cha sheria, dr. raymond atuguba ameonyesha kwa umakini jinsi wanamgambo wa eneno la delta ya naija, wanaojulikana kwa ukorofi wa kulipua mabomba ya mafuta, kuteka watu nyara na kudai dhamana kubwa na kusababisha vurugu kwenye eneo lenye utajiri wa mafuta nchini naijeria wameanza kuingia ghana kwa makundi.
a respected legal practitioner and lecturer at the university of ghana, law faculty, dr. raymond atuguba has chillingly revealed that militants in the niger delta region, notorious for blowing up oil pipes, kidnapping and demanding huge ransoms and causing unrest in the oil rich nigerian region have started tripping to ghana in droves.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: