Você procurou por: naweza kukuona kwenye video coll (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

naweza kukuona kwenye video coll

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

naweza kukuona tena lini

Inglês

mambo vipi dada naweza kukuona kesho kama utakuwa na muda usinichoke nakuomba

Última atualização: 2024-03-19
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

picha imepigwa kwenye video ya youtube.

Inglês

screen capture from youtube.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

limechukuliwa kutoka kwenye video za the musalman

Inglês

screenshot from the video the musalman

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kesho naweza kukuona mda gani niambie sasa mapema

Inglês

Última atualização: 2020-07-22
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

tunatarajia kukuona kwenye jiji la cebu mwezi januari!

Inglês

looking forward to seeing you in cebu city in january!

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

habari zaidi kuhusu vann zimeonyeshwa kwenye video hii:

Inglês

more of vann's story is revealed in this video:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

mpenz kesho nataka kukuona kwenye vidio colo in engrsh

Inglês

mpenz kesho nataka kukuona kwenye vidio colo in engrsh

Última atualização: 2024-03-28
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

picha imepigwa kwenye video iliyowekwa na baraza la seneti.

Inglês

screenshot from video posted by the senate.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

picha imepigwa kutoka kwenye video ya youtube iliyowekwa na basim annanow

Inglês

screenshot taken from a youtube video uploaded by basim annanow

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

picha kutoka kwenye video ya "sauti za wa-paupa."

Inglês

screen capture from "papuan voices."

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

picha mnato kutoka kwenye video ya toni zen iitwayo "under control."

Inglês

a still from toni zen's video clip "under control."

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

habari mpya: utambulisho wa ukweli wa mbunge huyu wa uganda umefunuliwa kwenye video hii hapa.

Inglês

update: the true identity of the ugandan delegate is revealed in this video.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kwenye video hii, mwanamke ambaye hajatambuliwa anasema kwa kiarabu kuwa ana ujumbe kwa ajili ya ombama.

Inglês

in the video, the unidentified woman says she has a message for obama.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kutoka kwenye video iliyotayarishwa na mtandao maarufu wa kharabeesh kwa ajili ya kumbukumbu ya rubani aliyefariki, iliyowekwa katika ukurasa wa facebook.

Inglês

from a video created by the popular site kharabeesh to pay tribute to the fallen pilot, on their facebook page.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

baada ya tukio lililonaswa kwenye video la kumwagiwa pilipili, ushiriki wa chuo kikuu cha california katika vuguvugu la dunia nzima la maandamano ya kukaa ulivutia macho ya vyombo mbalimbali vya habari.

Inglês

after the pepper spray incident and video, the university of california's participation in the worldwide occupy movement gained media attention.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kampuni ndogo ya kujitegemea ya utayarishaji wa muziki wa mahadhi ya dansi nchini ukraine imekonga nyoyo za watumiaji wa you tube pamoja na wale wa apple kupitia kwenye video fupi ya muziki ambayo hadi sasa imeshatazamwa na watu zaidi ya nusu milioni.

Inglês

a little-known ukrainian indie rock collective has captured the hearts of youtube users—and apple fans—with a cleverly shot music video that now has over half a million views.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

ili kupingana na picha hasi ya afrika kwenye video hiyo, raia watumiao mtandao wanatuma ujumbe kuhusu “kile wanachokipenda afrika” kwa alama ya ujumbe #whatiloveaboutafrica.

Inglês

in order to counter the negative portrayal of africa in the video, african netizens are tweeting about “what they love about africa” with the hash tag #whatiloveaboutafrica.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kwenye video hiyo mwanaume mmoja anaonekana kusogelea abiria wawili waliokuwa wamekaa na baada ya kubishana kidogo, mmoja wa wanaume hao anasimama, anainua pastola yake angani na kumpiga risasi mtu wa kwanza kwenye paji la uso akiwa karibu kabisa nae.

Inglês

on the video a man is seen approaching two seated passengers and after after a brief exchange, one of these men stands up, takes out an air or gas powered rubber-bullet pistol and shoots the first man in the face at point-blank range.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

ripoti kwenye video iliyowekwa kwa hisani ya oscar durand na elie gardner mahususi kwa ajili ya nchi zinazoendelea;ilionekana kwenye tovuti wa pri.org mnamo februari 23, 2014 na kuchapishwa kama sehemu ya makubaliano ya kugawana maudhui.

Inglês

this video report by oscar durand and elie gardner for the world originally appeared on pri.org on february 23, 2014 and is republished as part of a content sharing agreement.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kurasa za twita zinazoelekeza kwenye picha zilizopigwa kutoka kwenye video inayodhaniwa kuwa ni ya mauaji na zinazoonekana kuambatana na maeneo ya kijiografia ya jiji la ar-raqqah linaloshikiliwa kwa ukaribu kabisa na isis. jiji hili lililoharibiwa vibaya kwa vita lipo katika jimbo la aleppo nchini syria.

Inglês

tweets linking to images from the purported execution video are geo-tagged to isis stronghold ar-raqqah city, in syria’s war-torn aleppo province.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Consiga uma tradução melhor através
7,794,856,453 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK