Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
suala hapa ni kuhusu kupata haki za msingi katika nchi yao wenyewe.
it's about acquiring basic human rights in their own homeland.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
moja ya mada kwenye ukurasa huo ni kuhusu mwendeshaji/mtengenezaji wa ukurasa huo.
one of the topics on the page is about the administrator/creator of the page.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
pendekezo lake la mwisho lilikuwa ni kuhusu raia wa cuba joaquin maria machado de assis.
his final recommendation was the cuban joaquin maria machado de assis.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
vivyo hivyo ni kuhusu uhusiano wao na matunda na mboga mboga, hasa katika mkoa wangu.
similarly is their relationship with fruit and vegetables, particularly in my region.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hoja yangu ni kwamba baadhi ya watu hawana welewa kuhusu nini kinaendelea ndani ya maisha yetu na bado wanafikiri wana haki ya kuamua na kuwa wakuu.
my point is, some people have no knowledge about what goes on in our life yet they deem it their right to judge and be almighty.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
umma uliachwa katika hali ya sintofahamu kuhusu nini hasa kitakachotokea katika mchezo huu wa ushindani kati ya watu walioshika madaraka na wale wanaosubiri madaraka.
the public was left wondering what will happen in this game of rivalry between the people in power and the people yet to be handed power.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hizi ni habari tofauti na mgogoro wa kisiasa unaoendelea: ni kuhusu juhudi katika elimu, mazingira, usawa na utu.
rather, they are the stories behind the conflict: the struggles for education, the environment, equality and dignity.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lengo la mgogoro huu ni kuhusu kutunza na kuwa na uhuru na ardhi waliyokuwa wanaitumia kwa karne nyingi na sasa zinatumiwa kama hifadhi zao za asili:
the conflict focuses on claiming the preservation and autonomy of the lands that they have inhabited for centuries and that are now being exploited for their natural resources:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
madhumuni ya mkopo ni kuhusu watoto wangu wa kike, nina watoto mapacha wanaumwa homa ya ini na nahitaji mkopo ili waende hospitali ya bugando iliopo mkoa wa mwanza kwa ajili ya vipimo na dawa
the purpose of the loan is about my girlfriends, i have twin babies suffering from liver fever and i need a loan to go to the existing bugando hospital for the primary region for tests and medications
Última atualização: 2018-01-09
Frequência de uso: 2
Qualidade:
Referência:
tovuti ya serikali ya marekani the daily beast inayoeleza mbinu za utangazaji inayoaminiwa kutoka kwa tume ya kimataifa ya usalama, na mbinu ikisemekana kuwa "kila kitu ni kuhusu uchina.
the daily beast obtained a u.s. government cable outlining a communications stratagem with apparent origins in the national security council, with the strategy being quoted as "everything is about china.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
kutafakari juu ya hili, salimi aioubzod anadokeza ni "huzuni" kuwa wapiga kura katika nchi wasiwasi wao zaidi ni kuhusu "shibe" au "njaa" ya mgombea urais= kuliko kuhusu jukwaa la mgombea.
reflecting on this, salimi aioubzod suggests it is "sad" that voters in the country are more concerned about how "full" or "hungry" a presidential candidate is than about the candidate's platform.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.