Você procurou por: nilimpigia mchana simu yake ilikuwa haipatikan (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

nilimpigia mchana simu yake ilikuwa haipatikan

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

miili 25 imechukuliwa kutoka majini, 2 kati yake ilikuwa ni ya watoto.

Inglês

25 bodies have been taken out of the water, 2 of them were children.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

nami nikafa. hiyo amri ambayo shabaha yake ilikuwa kuleta uhai, kwangu imeleta kifo.

Inglês

and the commandment, which was ordained to life, i found to be unto death.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

basi, watu wakataka kumtia nguvuni, lakini hakuna mtu aliyethubutu kumkamata kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.

Inglês

then they sought to take him: but no man laid hands on him, because his hour was not yet come.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kijana mmoja anayetumikia jeshi kama askari polisi aliamua kutorudi kwenye kikosi alichokuwa akifanya kazi baada ya likizo na alipeleka taarifa kuwa dhamiri yake ilikuwa ikimshtaki.

Inglês

a young man who is serving his military service as police decided not to go back to his military unit after vacation and announced the declaration of conscience.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

miguu yake iling'aa kama shaba iliyosafishwa katika tanuru ya moto na kusuguliwa, na sauti yake ilikuwa, kama sauti ya poromoko la maji.

Inglês

and his feet like unto fine brass, as if they burned in a furnace; and his voice as the sound of many waters.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

watu kadhaa walijotkeza na kumpiga vibay sana kiasi cha kupoteza fahamu na pia walichukua simu yake ya mkononi pamoja na ngamizi mpakato yake.

Inglês

several people appeared and beat him so severely that he lost his consciousness, and they took his cell phone and laptop.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

msomaji mwingine anaipenda sauti ya vuvuzela kiasi kwamba angeweza kununua sauti-mwito wa simu yake!:

Inglês

another reader likes the sound so much and would even buy vuvuzela ringtone!:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kama mpenzi wako amezowea kuweka kindege✈️ kwenye simu yake mkiwa naye niamini kwenye hiyo ndege kuna abilia . ��

Inglês

if your boyfriend has been used to putting a plane✈️ on his phone with him and believe me on that plane there is an abilia . ��

Última atualização: 2023-11-13
Frequência de uso: 2
Qualidade:

Suaíli

mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake ilikuwa kama ya dubu, na kinywa chake kama cha simba. lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu.

Inglês

and the beast which i saw was like unto a leopard, and his feet were as the feet of a bear, and his mouth as the mouth of a lion: and the dragon gave him his power, and his seat, and great authority.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwanablogu wa ki-lebanoni habib battah anaeleza namna alivyoshikiliwa bila hiari, akilazimishwa kufuta picha katika kamera ya simu yake na kudhalilishwa mfululizo katika posti hii inayohusiana na ripoti ya beirut.

Inglês

lebanese blogger habib battah narrates how he was held against his consent, forced to delete photographs of ruins from his phone camera and repeatedly assaulted in this post on the beirut report.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

katika mgahawa waat a smoky cafe jijini cairo, akiwa anachapa katika vitufe vya simu yake, tapping on his keyboard, akitupa mawasiliano yake pamoja na tabasamu zurisharing contacts + smiling widely.

Inglês

at a smoky cafe in cairo, tapping on his keyboard, sharing contacts + smiling widely.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

ninachokimaanisha hapa ni kuwa, ni kwa nini wasiweke chanzo kimoja au vinne vya mtandao wa intaneti wa si-waya ili kila mmoja aweze kupata huduma ya intaneti akiwa nyumbani kwake kupitia simu yake, ngamizi ya kawaida, ngamizi mpakato n.k ikiwa na kasi ifananayo na ile inayopatikana katika vituo vya etecsa.

Inglês

what i am referring to is why not put one or four good wireless network adapters so anyone can have access from home with a smartphone, pc, laptop, etc. to the web with similar speed to those in etecsa centers.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.

Consiga uma tradução melhor através
7,793,747,498 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK