Você procurou por: ponda raha kufa kwa (Suaíli - Inglês)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

ponda raha kufa kwa

Inglês

ponda raha kufa kwaja

Última atualização: 2024-04-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

ponda raha kufa kwaja

Inglês

crush the pleasure of dying for

Última atualização: 2021-02-16
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

gay ugandan anakuasa kuchukua hatua hizi pamoja naye na kukuuliza ikiwa anastahili kufa kwa sababu hii:

Inglês

gay ugandan is urging you to take this cause with him and asks you if he deserves to die because of this:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

si rahisi mtu kufa kwa ajili ya mtu mwadilifu; labda mtu anaweza kuthubutu kufa kwa ajili ya mtu mwema.

Inglês

for scarcely for a righteous man will one die: yet peradventure for a good man some would even dare to die.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

ghasia za minyah zilisababisha kufa kwa afisa mmoja wa polisi - kosa la jinai ambalo ndilo lililosababisha kushitakiwa kwa washikiwa wote.

Inglês

the minya riots left one police officer dead - a crime all 529 defendants are accused of.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

siku moja kabla, watu wa jordan walionesha mshikamano wao na japan kufuatia isis kushukiwa kutoa video iliyokuwa inaonesha kuchinjwa hadi kufa kwa mwandishi wa habari kenji goto.

Inglês

a day before, jordanians stood in solidarity with japan after isis purportedly released a video beheading journalist kenji goto.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kila mmoja anaonekana kusema ah alikufa akiwa bado kijana wa miaka 50, na nilifikiri pia kwamba katika uganda wastani wa umri wa kuishi ni miaka 50. je unajua kuwa katika afrika kufa kwa uzee ni historia?

Inglês

everyone seemed to say oh he died young at 50, and then i thought that actually in uganda life expectancy is at 50. do you know in many african countries dying of old age is almost history?

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

maandalizi kwa ajili ya mashindano ya kombe la dunia mwaka 2022 huko qatar tayari yameingia dosari kufuatia taarifa za kufa kwa wafanyakazi wa ujenzi 400 wa nepal na 700 wa kihindi katika hali ya hewa inayokaribia nyuzi 122 za fahrenheit (nyuzi 50 celsius).

Inglês

preparations for the 2022 world cup in qatar have already been marred by reports of as many as 400 nepalese and 700 indian construction workers dying in conditions that can approach 122 degrees fahrenheit (50 degrees celsius).

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

idadi hutofautiana kulingana na mkoa. hatua nyingine zinajumuisha kiwango cha vifo (cfr), ambayo inaonyesha asilimia ya watu waliogunduliwa ambao hufa kwa sababu ya ugonjwa, na kiwango cha kufa kwa maambukizo (ifr), ambayo inaonyesha asilimia ya watu walioambukizwa (waliotambuliwa na wasiotambuliwa) ambao hufa kwa sababu ya ugonjwa.

Inglês

the number varies by region.other measures include the case fatality rate (cfr), which reflects the percent of diagnosed individuals who die from a disease, and the infection fatality rate (ifr), which reflects the percent of infected individuals (diagnosed and undiagnosed) who die from a disease.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Consiga uma tradução melhor através
7,778,120,005 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK