Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
nilikuwa sakafuni, nimekandamizwa na miili mingine.
i was on the floor, smashed by other bodies.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
alimpapasa na nguo ya pallu aliyokuwa ameivaa, ikadondoka sakafuni.
he tugged at her pallu, letting it fall to the ground.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hakukuwa na vitanda vyovyote au magodoro," alisema "tulilala sakafuni.
there weren't any beds or mattresses,” he says. “we slept on the floor.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
alilazimishwa kulala sakafuni huku waliokuwa wakimhoji wakimkanyaga mgongoni mwake, kwenye shingo na usoni.
he was forced to lay on the floor while interrogators stomped on his back, neck and face.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
katika ukumbi wa kuelekea chumba cha upasuaji kulikuwa na mwili umelala sakafuni, damu zilikuwa zikimiminika kutoka kichwani, ilikuwa vigumu kusema kama alikuwa bado yungali hai au alikwishakufa.
in the surgery hallway a man’s body lay in the floor bleeding by his head, it was impossible to know if he was dead or alive.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hatua chache kutoka hapo, katika chumba kidogo cha kuhifadhia vifaa vya madaktari, wahudumiaji walipageuza kuwa mahali pa kuhifadhia miili ya watu, kulikwa na miili 6 iliyokuwa imelazwa sakafuni, baadhi ya maiti nguo zikiwa zimechanwachanwa na nguvu ya milipuko.
a few feet away in a small storage locker, staff had created a makeshift morgue, 6 bodies lay on the tiles, some had their clothes blown off.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ikiwa mtamstahi zaidi yule aliyevaa mavazi ya kuvutia na kumwambia: "keti hapa mahali pazuri," na kumwambia yule maskini: "wewe, simama huko," au "keti hapa sakafuni miguuni pangu,"
and ye have respect to him that weareth the gay clothing, and say unto him, sit thou here in a good place; and say to the poor, stand thou there, or sit here under my footstool:
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível