A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
sheria za usalama barabarani
road safety laws
Última atualização: 2023-04-12
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
ngonjera kuhusu usalama barabarani
interviewer: are you worried?
Última atualização: 2017-09-27
Frequência de uso: 4
Qualidade:
Referência:
lazima viendelezi vya ufuatiliaji na uchunguzi viwe na sheria za muda;
extensions of monitoring and surveillance would have to have sunset clauses;
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
sawa tu na vile nitakapotembelea nchi nyingine yoyote, nitaheshimu sheria za nchi hiyo.
the same if i'm to visit any other country, i would respect the local laws of that country.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hivi karibuni kumekuwepo na majadiliano mengi kuhusu sheria za kudhibiti vitendo vya ukatili vya ngono.
recently there has been a lot of discussion about sexual abuse laws.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
makazi ya israeli katika maeneo ya nchi nyingine kwa muda mrefu yametajwa kuwa kinyume cha sheria za kimataifa.
israeli settlements in the occupied territories have long since been pronounced illegal by international law.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
sisi zaidi twatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kufanya kazi kushawishi israeli kuzingatia kanuni za msingi za sheria za kimataifa.
we furthermore call on the international community to work to induce israel to uphold basic principles of international law.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kwa hivyo twatoa wito kwa serikali ya israeli kuheshimu sheria za kimataifa na kugeuza idhini ya nyongeza ya makazi elfu moja na katika west bank.
we thus call for the israeli government to respect international law and reverse the approval of the thousand plus additional settlements units in the west bank.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mahakama hii iliamua kwamba nchi ya italia ilikiuka sheria za mkataba wa ulaya wa haki za binadamu ilipowakamata wakimbizi waeritrea na wasomali na kuwarudisha libya.
on february 23, 2012, the european court of human rights in strasbourg has come to a historic judgment, that italy violated the european convention on human rights by intercepting and sending back eritrean and somali migrants to libya.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
@commsbh: hatua hizo zinakuja kwa ajili ya kuzuia uvunjaji wa tunu za maadili na utamaduni pamoja na sababu za usalama.
@commsbh: the procedures comes in order to prevent any breaching of observable moral values and traditions as well as for security considerations.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
adhabu ya kifo itatolewa kwa kubeba au kuuza mihadarati ya zaidi ya uzito wa gramu 50 kwa mujibu wa sheria za china, na alikutwa na zaidi ya gramu 4000.
carrying or selling heroine of more than 50 grams will get death penalty according to the chinese law, and over 4000 grams were found on akmal.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hivi karibunituliandika kuhusu msichana wa miaka 10 aliyekuwa mjamzito nchini paraguay kwa kudaiwa kubakwa na baba yake wa kambo na namna alivyoshindwa kutoa mimba hiyo kwa sababu sheria za nchi hiyo zinazuia utoaji wa mimba.
we wrote recently about about a 10-year-old pregnant girl from paraguay who was allegedly raped by her stepfather and who was unable to have an abortion because of legal limitations in the country.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hukumu ya selebi ni, kwa kuitazama juu juu, ushahidi kwamba mfumo wa sheria za uhalifu kwa mara nyingine unaonyesha uimara wake linapokuja suala la uhalifu unaofanywa na wanasiasa waandamizi.
selebi’s conviction is, on the face of it, strong evidence that the criminal justice system is once more showing its steel when it comes to crimes by senior political figures.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
@anc_debate: tutakarabati mfumo wa sheria za uhalifu - uratibu bora, tutatengeneza miundo ya kisasa na tutaongeza rasilimali.
@anc_debate: overhaul criminal justice system - better coordination, modernise systems, more resources.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kushinikiza sheria za mavazi kwa watu ili kupinga kushinikiza sheria za mavazi kwa watu hakuna manufaa kabisa, na kama nilivyoeleza hapo juu, hiyo siyo sababu ambayo inapelekea kuangaliwa kwa sheria hizo, au?
imposing dress codes on people in order to oppose the imposing of dress codes on people is completely counterproductive, but as i outlined above, that’s not the real reason these laws are being considered, is it?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
2) licha ya kuwepo madai au ushahidi wa kuunga mkono uwepo wa vyombo huru vya habari, bado serikali inaendelea kuwa na mkono wenye nguvu katika udhibiti wa vyombo vya habari hasa kupitia sheria za utoaji habari na upigaji chapa.
2) despite claims or evidence of supporting free media, government continues to hold the leverage in controlling media with information and printing acts.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
pamekuwepo na aina mpya ya utalii unaoitwa "utalii wa kutoa mimba" kutoka katika nchi jirani ambapo sheria za kuzuia utoaji mimba zimekuwa kali zaidi sana, kama vile poland, na zimeandikwa.
“abortion tourism” from the neighboring countries where the laws are more restrictive, such as poland, has also been documented.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
vidhibiti vya hatari kazini vya covid-19 ni matumizi ya mbinu za usalama kazini na afya ya kudhibiti hatari katika kuzuia ugonjwa wa virusi vya korona 2019 (covid-19).
workplace hazard controls for covid-19 are the application of occupational safety and health methodologies for hazard controls to the prevention of coronavirus disease 2019 (covid-19).
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
(g19) walituma barua mbili kwa serikali mnamo disemba 2009, wakidai hatua za haraka kurekebisha sheria za uchaguzi, rushwa, migongano ya kimaslahi, na kuingiliana kati ya chama cha frelimo na serikali.
budget support donors (g19) sent two letters to government in december 2009, demanding rapid moves on electoral law reforms, corruption, conflict of interest, and the overlap between the frelimo party and the state.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hawa watu ni wahalifu wanaoishi kongo na ni wahalifu wanaoishi kanada na ni wahalifu wa sheria za kimataifa. (…) tunazo taarifa kutoka kwenye vyanzo vya uhakika kuhusiana na majina ya watu maarufu wa ki-kanada ambao makampuni yao yanajihusisha na unyonyaji haramu wanaoufanya kwenye madini yetu nchini kongo.
they are criminals in congo and they are also criminals in canada and criminals according to international laws. (...) we have information from reliable sources about all the names of all the canadian public figures whose companies are involved in the illicit exploitation of mines in congo. johannesburg also witnessed the march of hundreds of congolese nationals.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: