Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
waziri matatani kwa cheti 'feki'
iran: scandal over minister's forged oxford university degree · global voices
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
talking points imesaidia kuongeza umaarufu wa tovuti hii ya sony ak kwa miaka sita iliyopita.
talking points affirms the popularity of sony ak’s website in the past six years
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tovuti hii itajumuisha simulizi za changamoto katika jamii na pia mafanikio.
this site highlights lives on the margins of society, but also successes.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
majadiliano katika tovuti hii ni ya kiungwana zaidi kuliko katika tovuti nyingine yoyote.
discussion on this web board is more polite than on other web boards.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
haya ni masuala ambayo tumeyajadili mara nyingi katika tovuti hii lakini imekuwa vyema kuona masuala hayo yameletwa tena kupitia filamu hii.
these are issues we have discussed many times on this website but it is good to see them brought together in this video.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tovuti hii imegawanywa katika makundi 6: kwenda kuishi ulaya, maisha ya ulaya, short on luck, kufanya kazi, kurudi nyumbani, mziki.
the website is divided into six categories: leaving for europe, life in europe, short on luck, getting down to work, going back, music.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
anaongeza zaidi kuwa: “pindi tovuti ikianza kufanya kazi na kwa kutumia idadi nzuri ya zana au miundo, nitaufanya msimbo kuwa wa wazi kwa kila mtu na kuwakaribisha waendelezaji na waandishi wa habari kuuimarisha ili waweze kutengeneza matoleo yao ya tovuti hii.
and he adds: "once the site is working with a healthy amount of applications, i will make the code open source and invite developers and journalists to improve it so they can launch their own versions of the site".
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
habari ya kina ya jinsi global voices ilivyokua na jinsi matawi yake tofauti yanavyofanya kazi – kujumuisha sauti zinazokua, idara ya utetezi ya global voices pamoja na idara ya lugha ya global voices – inaweza kupatikana kwenye sehemu nyingi, pamoja na sehemu kuhusu ya tovuti hii na ile ya maswali yanayolizwa kila mara (faq).
the detailed story of how global voices evolved and how its various branches operate - including rising voices, global voices advocacy, and global voices lingua - can be found in many places, including this website's about section and faq.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.