Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
kumuomboleza sawa, lakini tukumbuke kumsherehekea gwiji huyu.
mourn the man, but remember to celebrate the legend.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tukumbuke siku zote kuwa serikali inatutumikia, na sio kinyume chake!
we must always remember that the government works for us, not the other way around!
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
pia tukumbuke kwamba, mapambano yake akiwa katika upweke wake huku akiwa chini ya ulinzi mkali katika makazi yake ya huko rangoon ni sehemu ya mapambano mapana zaidi, ulimwengu kote, katika kutafuta kuikomboa roho ya kibinadamu kutoka katika tawala za kimabavu za kisiasa na manyanyaso ya kisaikolojia.
we must also remember that lonely struggle taking place in a heavily guarded compound in rangoon is part of the much larger struggle, worldwide, for the emancipation of the human spirit from political tyranny and psychological subjection.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mnajua nini, sheria ina mambo ya ajabu sana, ya kuja na kukung'ata hasa kwa wanasiasa wanachokatakata kona kama akina kambwili, tukumbuke kwamba mwezi huuhuu yule padre mnyarwanda alifurushwa kwa sababu ya kukosa vibali; kama wanashirika wazambia wenzake na padre huyo kule chipata wangeomba serikali ya pf kwamba kwa nini wasingeachana na jambo hilo na kumruhusu kuendelea kubaki; je, kambwili angewajibu vipi swali hilo?
you know what the law has an annoying habit, of coming back to bite you especially for those politicians who like cutting corners like buffoon kambwili, remember this is the month in which a rwandan priest was deported for not having a permit; if the priest’s zambian members of his congregation in chipata asked the pf gov’t why they didn’t waive that and let him stay; how would kambwili answer that question
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: