Você procurou por: tumetoka mbali sana (Suaíli - Inglês)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

tumetoka mbali sana

Inglês

we have come a long way

Última atualização: 2022-04-09
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

tumetoka mbali

Inglês

we've come from far

Última atualização: 2019-01-10
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

mimi uko mbali sana

Inglês

you are too far away

Última atualização: 2022-02-16
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

mapigo ya moyo wangu yanadundia mbali sana

Inglês

heartbeat

Última atualização: 2023-06-29
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

hatukuamini kuwa mabehewa mawili yalikuwa yametengana na yalikuwa mbali sana.

Inglês

we didn't believe that two cars were disconnected and they were so far.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

nionapo vifusi kila mahali, kwa hakika, picha hii inatukumbusha mbali sana.

Inglês

now seeing rubble all around, the photograph surely is a distant memory.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

unapotembea katika mitaa, mabango ya ugenini na maelekezo, yanazidi haya tuliyonayo kwetu kwa mbali sana

Inglês

when you walk on the streets, foreign signs and directions, they far exceed our domestic ones.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

sio mbali sana inaweza hata isifike 2030 tayari nikawa nishaoa maana hii mipango inaenda na baraka za mwenyezi mungu

Inglês

Última atualização: 2020-11-14
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

mheshimiwa alan #dershowitz afrika kusini iko mbali sana kuwa nchi iliyokwama. nchi inayoendelea labda, lakini haijakwama

Inglês

dear mr alan #dershowitz, south africa is far from a failed country. a developing country maybe, but not failed — winford collings (@screamforkyle) march 6, 2014

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

vijana walioko jijini na walioshindwa kufika shahbag, tafadhali tambua kuwa uko mbali sana na historia, uko mbali sana na wakati huu na pia uko mbali sana na wakati ujao.

Inglês

those youth who are in the city and have not managed to come to shahbag, please know that you are far away from history, away from the present and future.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

barani afrika, ni wataalamu wachache tu ambao wameisoma dhana ya mipaka iliyo wazi, dhana ambayo, bila ya shaka, iko mbali sana na ukweli uliopo barani ili kuendelezwa.

Inglês

in africa, only a few experts have studied the concept of open borders, an idea that is, without doubt, too distant from the continent realities to persist.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

“ingawa ni muhimu kwa wamerekani kufahamu kuhusu vvu/ukimwi na hatari ya ugonjwa wenyewe, nadhani kuwafundisha watoto katika umri wa miaka miwili na mitatu ni kwenda mbali sana.

Inglês

"although it is important for americans to know about hiv/aids and the seriousness of the diseases, i think teaching kids at the ages of two and three is a little extreme.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

lakini kama kuna ajenda ya siri, na maslahi ya rwanda ni kutaka kudhibiti uchimbaji wa madini na mambo kama hayo kinyume cha sheria, na kama wana mkono kwenye kwenye kila jambo linaloendelea kivu ya kaskazini na kusini, basi bado tupo mbali sana na kuaminiana.

Inglês

but if there is a hidden agenda, and rwanda's interest is more or less controlling the mining concessions and all that, illegally, and if they have a hand in each and everything that goes on in north and south kivu, then we're still a long way from trust.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

yopa si mbali sana na luda; kwa hiyo wafuasi waliposikia kwamba petro alikuwa luda, wakawatuma watu wawili kwake na ujumbe: "njoo kwetu haraka iwezekanavyo."

Inglês

and forasmuch as lydda was nigh to joppa, and the disciples had heard that peter was there, they sent unto him two men, desiring him that he would not delay to come to them.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

hata kama wazo hili linaweza kuonekana kuwa mbali sana, madai yaliyochochea mapinduzi ya kidemokrasia nchini tunisia, misri, yemen na libya yalikuwa yanafanana sana na yale yaliyosababisha ushindi wa mkubwa wa chama cha patriotic front (pf) tarehe 23 septemba.

Inglês

remote though the idea may seem, the sentiments that prompted the democratic revolutions in tunisia, egypt, yemen and libya were similar to those that resulted in the conclusive patriotic front (pf) victory on 23 september.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

uko mbali sana na nakukumbuka sana kwamba njia pekee ya kupunguza maumivu yangu ni kwa kukuandikia barua hii. wakati mwingine nadhani itakuwa nzuri kama tunaweza kuhifadhi hisia fulani katika "sanduku" kidogo... nitaelezea: sio mbaya sana kumkosa mtu kila wakati, lakini inaumiza sana wakati mwingine na kutokuwepo kunakuwa kusikoweza kuvumilika. hivyo ndivyo ninavyohisi sasa hivi, na hiyo ndiyo hisia ambayo ningependa kuweka kwenye sanduku salama au kwenye sanduku lenye harufu nzuri ambalo ningeweza kufungua haraka sana mara kwa mara

Inglês

you are so far away and i miss you so much that the only way to ease my pain is by writing you this letter. sometimes i think it would be great if we could store certain feelings in a little "box"... i´ll explain: it´s not so bad to miss someone every now and then, but it hurts too much sometimes and the absence becomes unbearable. that´s how i´m feeling right now, and that´s the feeling i would like to keep in a safe or in a little scented box that i could open really quickly from time to

Última atualização: 2022-03-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,777,156,408 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK