Você procurou por: ukandamizwaji (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

ukandamizwaji

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

kushamiri kwa uongozi wa kijeshi kitaifa na kwenye jamii kumefanikisha ukandamizwaji wa maoni mbadala kusini mwa nchi, na kumewezesha mashambulizi dhidi ya wanahabari.

Inglês

the militarisation of state and society has been able to suppress dissent in the south, even mounting attacks on journalists.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

wengine wamejiunga kwa dhumuni la pamoja dhidi ya kuchuja habari na ukandamizwaji wa wale ambao wanatumia haki yao ya kujieleza kwa uhuru kwa mujibu wa kipengele cha 19 cha azimio la umoja wa mataifa la haki za binadamu.

Inglês

others have joined in common cause against censorship and repression of those who are merely exercising their universal right to free expression according to article 19 of the united nations universal declaration of human rights.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

tunategemea harakati hizi kuisha mapema iwezekanavyo. tuendeleze juhudi zetu ili mashirika ya misitu na mabwawa wtuachie ardhi yetu, kwa kuitunza ardhi yetu, ili tuendelee kurejesha kila kilichochukuliwa kutoka kwetu na mwisho tutembee kwa uhuru kwenye (mapu) ardhi yetu ili watoto wetu wasiendelee kukua wakigubikwa na ndoto za ukandamizwaji…. na kuwa wataweza kutembea katika ardhi iliyo huru ya mababu zao....amulepe taiÑ weichan!!!

Inglês

we hope this struggle ends soon let's continue fighting for forest companies and dams to leave our land, for the healing of our mapu (land), to continue recovering what was taken from us, and to finally walk freely through our mapu, that our children may not continue growing up with repression filling their dreams...and that they may walk through the free lands of our grandparents...amulepe taiÑ weichan!!!

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,743,055,526 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK