A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
unapanda ndege nchini naijeria na unakaa kwenye siti na wafanyakazi wa ndege wanabaki kujibaraguza na ndege haiondoki utadhani wanasubiri uwalipe ili ndege ipae."
you get into a plane in nigeria and you sit there and the crew keeps dilly dulling without taking off as they wait for you to pay them to fly the plane."
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
nilipokuwa nataka kutoka ndani, mara niliona meza ya kujipodolea ikitikisika, makabati ya jikoni yakitetemeka huku vitu vilivyo ndani vikidondoka chini, wakati huohuo nyumba ilikuwa ikichezacheza utadhani imetengenezwa kwa kitu laini mfano wa mafuta ya mgando.
on my way out, i saw our dresser moving, the kitchen cabinets shake and spit out all sorts of cans, and the house moving as if it was made out of jello.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mheshimiwa prossy , tafadhali, usimsahau rafiki yako wa kiume mwenye umri kama wako wa miaka 19 aliyekuwa akikununulia chapati, na pia aliyekusaidia kufika hapo ulipo, na kumbuka, uwe na moyo shupavu wa kutowaogopa baadhi ya wabunge kama akina moses ali wanaovuta pumzi utadhani paa lote la jingo la bunge linataka kuanguka.
hon prossy , plse dont forget ur little 19 yr old boy friend who used to buy for u chapatis, he kind of also helped u in a way, and remember to take haert not to be scared of some mps like moses ali who snores like the whole roof of parliament is coming down.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: