A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
vikundi vidogo, wanafamilia na makampuni yanahitaji kutafutana.
small groups, families and companies need to quickly check in with each other.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
data chache zinapatikana kuhusu vidonda vidogo na pathofisiolojia ya covid-19.
few data are available about microscopic lesions and the pathophysiology of covid-19.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
uhuru wa kujieleza pia ni tatizo kubwa katika visiwa vidogo ambako makabila madogo yanaonyesha upinzani kwa dola ya indonesia.
freedom of expression is also a huge problem on islands where ethnic minorities show their resistance toward the indonesian state.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa sababu dawa halali huwa haina madini hayo, basi inakuwa rahisi kwao kutambua dawa hizi bandia kwa kuongeza siku kwenye vipande vidogo vya dawa.
since the authentic brand did not contain calcium carbonate, he and his colleagues were able to distinguish counterfeits from the genuine tablets by adding vinegar to bits of the tablets.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
utafiti uliofanywa 2013 ulionyesha kuwa kuboresha matendo ya kuosha mikono kunaweza kusababisha kuboreka kwa viwango vidogo katika kimo cha watoto chini ya umri wa miaka mitano.
a 2013 study showed that improved hand washing practices may lead to small improvements in the length growth in children under five years of age.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kuna machaguo mbalimbali ya vyakula katika barabara ya kupendeza ufukweni mwa bahari, kuanzia migahawa ya ya anasa mpaka maduka ya vyakula vya haraka au hata vijiduka vidogo vya biskuti na chipsi.
there is a variety of food choices along the corniche from fancy eating in restaurants to fast food or even small booths for biscuits and chips.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
john wewe ni mpenzi / mpenzi wangu na kwa hivyo natarajia unipatie vitu kadhaa. tafadhali fikiria juu yake. atleast nitumie vitu hivyo vidogo mara moja kwa wakati nitakupenda milele
john you are my boyfriend /lover and so i expect you to provide for me some things. please think about it. atleast send me those small things once in a while i will love you forever
Última atualização: 2020-10-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
@lalisandi : haikuwahi kutokea: #cuentasdelpp kuvuja kwa wingi na kusambaa katika mitandao ya intaneti katika vipande vidogo vidogo.
@lalisandi : never seen before: the #cuentasdelpp explode and spread over the internet in little pieces.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mikakati ya chanjo imeundwa kwa ajili ya mers kwa kutumia virusi vilivyolemazwa, plasmidi za dna, mikondo ya virusi, chembechembe ndogo, chembechembe zinazofanana na virusi na vitengo vidogo vya protini vilivyounganishwa tena na zingine vimetathminiwa katika miundo ya wanyama.
vaccination strategies have been developed for mers by using inactivated virus, dna plasmids, viral vectors, nanoparticles, virus-like particles and recombinant protein subunits and some have been evaluated in animal models.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
afrika ina viwanda vidogo na vya kati vipatavyo milioni 65 , hata hivyo bado inajikongoja kuendeleza kundi la wajasiriamali wa ndani wa kusimamia viwanda vya kimkakati, hususani mauzo ya mazao ya nje ya mazao ya kilimo, madini, usafiri na sekta ya viwanda vya umma ambapo soko mara nyingi mno hugeuka kuwa ya mameneja wa kigeni.
africa has 65 million small and medium enterprises (smes) , nevertheless it is still struggling to develop a class of local entrepreneurs to manage strategic industries, specifically the export of agricultural raw materials, mining, transport and industry public works where the market too often turns to foreign managers.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: