Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
vifaa vya google vya pamoja
https://mail.google.com/mail/u/0/#inbox/14f0bf9981a402e6?projector=1
Última atualização: 2015-08-11
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hukumu hiyo ya kihistoria ilitangazwa moja kwa moja, ikiwafanya raia wa mtandaoni kushindwa kuzuia hisia zao katika mtandao wakati vikao vya mahakama vikiendelea.
the historic verdict was broadcast live, prompting netizens to post reactions online as the court session progressed.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
waziri mkuu wa sasa beriziky alitoa tamko tarehe 30 mei kwamba andry rajoelina hana sifa tena ya kuendelea kushiriki vikao vya serikali kwa sababu alipaswa tayari awe ameshajiuzulu nafasi yake.
the current prime minister beriziky stated on 30/05 that andry rajoelina is no longer eligible to seat at the government meetings because he should have already resigned from his position.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kulipuka kwa majibizano yasiyo ya mpangilio yanayofuatiwa na wabunge kutoka nje ya bunge, ambao mara nyingi huwa ni wabunge wa vyama vya upinzani, imesababisha vikao vya bunge kuwa ni miongoni mwa vipindi vya televisheni visivyochosha kuangaliwa.
random eruptions of arguments followed by mass walkouts, usually by the opposition, has turned parliamentary sessions into must-watch television.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kuna taarifa zisizodhibitishwa zinazosema kwamba vikosi vya pamoja vya kisaudi, ambavyo vimekuwa vikiishambulia yemen kwa mabomu kwa zaidi ya miezi miwili sasa vimelilenga bwawa la marib, moja wapo ya maajabu makuu ya katika ulimwengu wa ubunifu wa kale wa kiufundi.
unconfirmed reports say that saudi coalition forces, which have been bombing yemen for more than two months have targeted the marib dam, one of the engineering wonders of the ancient world.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: