Você procurou por: wafasiri (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

wafasiri

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

hili, tunaamini, litaboresha shughuli za wafasiri na kuwapa moyo wale wanaotaka kuwa wafasiri kujiunga.

Inglês

this, we believe, will enhance the activity of translators and encourage potential translators to join in.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

miongoni mwa waliotia sahihi zao kwenye barua hii ni pamoja na wafasiri, ambao bila shaka wapo karibu sana na kazi za wang hui.

Inglês

among the signatories to this letter are also translators and they are without doubt closest to the work of wang hui.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mtandao wa global voices kwa sasa unapatikana katika zaidi ya lugha 30 tofauti shukrani za pekee kwa wahariri na wafasiri wetu wanaojitolea kwenye mradi wetu wa lingua.

Inglês

global voices is currently available in more than 30 different languages thanks to the amazing volunteer editors and translators of our lingua project.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mikutano ya global voices ni mikusanyiko midogo ya mahali inayokusudiwa kusaidia kutengeneza mitandao na wasomaji wetu, waandishi au wafasiri watarajiwa, na wengine wanaonesha kuvutiwa na kazi zetu.

Inglês

global voices meetups are local and small gatherings designed to help facilitate meaningful connections with our readers, potential authors or translators, and others that have shown an active interest in our work.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

global voices ni jamii isiyo na mipaka, kwa sehemu kubwa jumuiya ya watu wanaojitolea yenye waandishi, wachambuzi, wataalamu wa uandishi wa mtandaoni na wafasiri wapatao 1400.

Inglês

global voices is a border-less, largely volunteer community of more than 1400 writers, analysts, online media experts and translators.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

global voices ni jumuiya ya watu wanaojitolea inayoundwa na waandishi, wafasiri, na wanaharakati wa mtandaoni zaidi ya 500 wanaokuletea habari pamoja na mazungumzo yasiyopewa kipaumbele katika vyombo vikuu vya habari duniani.

Inglês

global voices is a volunteer community of over 500 writers, translators, and digital media activists who bring you underreported stories and conversations from around the world.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

gazeti linahaririwa na david iaconangelo, ambaye ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha johns hopkins huko baltimore, huku likiendeshwa katika zana ya blogger,zafra lit linategemea juhudi za wafasiri wanafunzi ambao wanajitolea muda na ustadi wao.

Inglês

edited by david iaconangelo, a student at johns hopkins university in baltimore, and running on blogger, zafra lit draws on the efforts of student translators who volunteer their time and skills.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mahojiano ya video ya kyo kageura, mkuu wa mradi wa minna no honyaku (みんなの翻訳, tafsiri kwa wote) , jukwaa jipya la tafsiri ambalo linazisaidia asasi zisizo za kiserikali na zile zisizo za kibiashara kueneza ujumbe wao, shukrani kwa wafasiri wa kujitolea.

Inglês

a video interview of kyo kageura, head of the project minna no honyaku (みんなの翻訳, translation for all) , a new translation platform that helps ngos and npos to spread their messages thanks to volunteer translators.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,781,287,707 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK