Você procurou por: waliouawa (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

waliouawa

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

wle waliouawa wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi.

Inglês

those killed during pev.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

"nani atafuata?" michoro ya wanablogu wa bangladesh waliouawa.

Inglês

"who will be next?"

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

miongoni mwa waliouawa ni pamoja na mshairi anayeheshimika, raia wa ghana kofi awoonor.

Inglês

among the dead include renowned ghanaian poet kofi awoonor.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

unaweza kusoma posti yake mwandishi wa global voices awakumbuka marafiki waliouawa kwenye shambulio la westgate.

Inglês

also read his post global voices author remembers friends slain in nairobi mall attack.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

rais aquino alitoa hotuba wakati ibada ya mazishi ya polisi waliouawa siku moja baada ya majeneza kuwasili.

Inglês

president aquino gave a speech during the necrological services for the slain policemen a day after their coffins arrived.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

waandamanaji walichapisha majina ya watoto waliouawa kwenye operesheni "kujilinda" inayoendelea gaza."

Inglês

protesters printed names of all the children martyred in gaza during operation “protective edge”."

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

wakipepea vitambaa vyeupe na kukeba mishumaa, wavenezuela hao walifanya maombi kwa ajili ya wanafunzi waliouawa tarehe 12 februari.

Inglês

wearing white and carrying candles, venezuelans prayed for the students who died on february 12th.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

nikamwona huyo mwanamke amelewa damu ya watu wa mungu, na damu ya watu waliouawa kwa sababu ya kumtangaza yesu. nilipomwona nilishangaa mno.

Inglês

and i saw the woman drunken with the blood of the saints, and with the blood of the martyrs of jesus: and when i saw her, i wondered with great admiration.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

inakadiriwa kwamba watu waliouawa katika shambulio hilo mjini humo ni kati ya 90 na 300, waasi wakisema kuwa watu hao walikuwa wamejitenga na vikosi vya assad.

Inglês

estimates put the number of those killed between 90 to 300 people in the attack on the town, which rebels say they have recently liberated from assad forces.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

soma pia: namna shambulizi la westgate lilivyodalidiliwa kwenye mitandao ya kijamii na mwandishi wa global voices awakumbuka marafki waliouawa kwenye shambulio la westgate.

Inglês

also read: how the nairobi mall attack unfolded on social media and global voices author remembers friends slain in nairobi mall attack.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hili linaonekana kuwa bayana katika video mpya iliyotolewa na al-shabab ikiwaonyesha vijana watatu wa ki-somali waliouawa wakati wa vita.

Inglês

this seems evident in new footage released by al-shabab featuring three young somali-americans who died while waging war.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kisha mwanakondoo akavunja mhuri wa tano. nikaona pale chini ya madhabahu ya kufukizia ubani roho za wale waliouawa kwa sababu ya ujumbe wa mungu, na kwa sababu ya ushuhuda waliotoa.

Inglês

and when he had opened the fifth seal, i saw under the altar the souls of them that were slain for the word of god, and for the testimony which they held:

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kikundi cha wanafunzi, wengi wao wakiwa wakenya, walikusanyika jijini beijing mnamo aprili 18 kufanya ibada isiyorasmi ya kuwakumbuka watu 147 waliouawa kwenye chuo kikuu kishiriki cha garissa mnamo aprili 2 kaskazini mwa kenya.

Inglês

a group of students, mostly from kenya, gathered in beijing on april 18 to hold an unofficial candlelight vigil to honor the memory of the 147 people killed at garissa university college on april 2 in northern kenya.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

@mansoor_aljamri: tunatumaini kwamba wizara ya mambo ya ndani itatangaza katika mkutano wa vyombo vya habari majina na uraia wa wale waliouawa na kujeruhiwa.

Inglês

@mansoor_aljamri: we hope the ministry of interior announces in its press conference the names and nationalities of those killed and injured.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

watu wasiopungua 15 -wakiwemo wanazuoni, wanaharakati na jamaa wa wahanga waliouawa kwenye ghasia za tiananmen – walihudhuria mkutano huo kwenye nyumba ya mtu binafsi jijini beijing mnamo mei 3, 2014.

Inglês

at least 15 people – scholars, activists and relatives of the victims killed in the tiananmen crackdown – attended the gathering at a private home in beijing on may 3, 2014.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

alama habari #nasaanangpangulo, yenye maaana 'rais yuko wapi' katika lugha ya kitagalog, ilikuwa mada maarufu zaidi kwenye mtandao wa twita duniani wakati wafilipino walipokuwa wakionesha hasira zao kwa rais noynoy aquino kufuatia kukosekana kwake kwenye mapokezi ya heshima ya miili ya polisi waliouawa wakiwa kwenye operesheni maalum.

Inglês

the hashtag #nasaanangpangulo, which means “where is the president” in tagalog, became the top trending topic on twitter worldwide as filipinos expressed their outrage at president noynoy aquino for skipping the arrival honors for elite policemen killed in a special operation.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,747,350,947 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK