Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
nimeona kuwa kuna watu wengi sana katika maeneo mbalimbali nchini wanaoendelea na maandamano.
i saw that there are so many people in various parts of the country who are raising their protest.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
leo, vann ni mwanaharakati wa taasisi ya somaly mam, akiwasaidia wanusurika wengine wa utumwa huo pamoja na wale wanaoendelea kutaabika kwenye madanguro.
today, vann is an activist with the somaly mam foundation, helping fellow survivors of slavery as well as those still working in brothels.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
jambo hili linaashiria kuwepo kwa viwango vya chini vya kumweka mfanyakazi kwa wafanyakazi vijana na wafanyakazi watu wazima wanaoendelea kubaki katika kazi zao za zamani kwa kuwa ni jambo la kuhatarisha sana kujaribu kutafuta kazi nyingine.
this indicates lower retention rates of young workers and older workers staying in their old jobs since it is too risky to find another job.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
badala ya kuwakomboa wasomali halisi, wanaohitaji na wanaoendelea kuishi nchini mwao na kuendelea kuiendeleza nchi yao wenyewe na jamii zao ndani ya somalia, rasimu hii ya katiba inaonekana kuwa ilani ya kuwakumbatia wageni na pia kuwakandamiza milele wazawa wa somalia.
instead of liberating the true somalis, who need and want to continue living in and developing their own country and their communities inside somalia, the planned constitution appears as the manifestation of the shackles of foreign as well as internal oppression of the indigenous somali people in perpetuity.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: