Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
katika mtandao, wanablogu na watumiaji wa twita wanasherehekea na kutafakari kwa kina mustakabali wa tanzania.
online, bloggers and tweeps are celebrating and reflecting on the future of tanzania.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwenye twita, watumiaji twita wanasherehekea miaka 50 ya tanzania kwa kutumia alama #tanzania50:
on twitter, tweeps celebrate tanzania@50 with the hashtag tanzania50:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wa-ethiopia kwenye mtandao wa twita wanasherehekea siku ya wajinga duniani kwa kutangaza habari bandia ambazo zinaiga uongo unaotangazwa na vyombo vya habari vya serikali.
ethiopians on twitter are celebrating april fool's day with fake news headlines that imitate the lies of state owned media.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
na kwa wale wasiofahamu, voortrekkers ni sawa na chama cha maskauti, lakini wao wanasherehekea urithi wa taifa la makaburu (afrikaner) ambao walisafiri kutokea sehemu za pwani kuelekea ndani kwenye sehemu inayojulikana hivi sasa kama freestate, gauteng, mpumalanga na limpopo.
for those who don’t know, the voortrekkers is like the boy scouts, but it celebrates the heritage of the afrikaner nation who moved from the coastal regions inland toward what is now known as the freestate, gauteng, mpumalanga and limpopo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: