Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
kadri waafrika wengi wanavyozidi kugundua nguvu ya kublogu kama zana ya kutoa maoni kwa kiwango cha dunia nzima, tarakimu ya wanablogu imeongezeka na pia maudhui yanayopewa kipaumbele.
as more africans come to realize the power of blogging as a tool for expression on a global scale, the number of bloggers has increased and so has the themes in focus.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kadri mgongano mkubwa wa maslahi unavyozidi kuwa wazi, ndivyo watu zaidi wanavyozidi kuamka kung'olewa kwa yingluck ni maigizo zaidi ya kuwa mchakato wa haki na unaokubalika
the more illegitimacy & conflict of interest are made apparent, the more awaken the people will be. #thailand — pravit rojanaphruk (@pravitr) january 23, 2015
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
kadiri watu katika sehemu mbalimbali za dunia wanavyozidi kuwa karibu kwa sababu ya teknolojia ya kisasa, na njinsi vikwazo vya kiutamaduni na tofauti ya asili vinavyozidi kuondolewa na kuacha nafasi kwa kuelewana na kuheshimiana; basi ndoa za watu wenye asili tofauti nazo zinazidi kuwa jambo la kawaida.
as people around the world get closer through modern technology, and cultural and racial barriers give way to mutual understanding and respect; and interracial marriages are becoming more common.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kadiri mrengo wa kihafidhina wa wizara hii - ambao kwa bahati mbaya ndiyo ulio na nguvu zaidi - unavyozidi kuonyesha kushindwa kwake vibaya kuelewa yale yanayotokea nje ya magamba waliyojijengea wenyewe kuhusu "maadili" na "mambo ya kuthaminiwa", ndivyo kadiri hiyohiyo wanavyozidi kukoleza moto wa kuchanganyikiwa na siasa kali.
the more the conservative wing of the ministry — which is the dominant wing — continues to display their pathetic inability to understand what's going on outside their self-constructed cocoon of "morality" and "values", the more they're feeding the bonfire of frustration and radicalism.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível