A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
waraka
documents
Última atualização: 2014-08-15
Frequência de uso: 6
Qualidade:
februari 8, waasi hao walitoa waraka kupitia wizara ya mambo ya ndani kupiga marufuku maandamano yoyote nchini yemen.
on february 8, they released a document with a ministry of interior logo banning all protests in yemen.
nimekuandikia waraka huu kukuomba kwamba uwe unatutmia nyaraka za malipo mapema ili tuwe tunapitia malalamiko ya mishahara kwa wakati na kuyawasilisha sehemu husika kwa ajiri ya utekelezeji
i have written this letter to you asking you to send us payment documents in advance so that we can review the salary complaints on time and submit them to the relevant section for implementation.
Última atualização: 2021-10-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mamia ya watu wameshuhudia kutunga gnome tangu kuundwa kwake mwaka wa 1997; wengine zaidi wamesaidia kwa njia zngine kama utafsiri, kutunga kwa waraka, na ubora wa huduma wa gnomeunknownmonitor vendor
hundreds of people have contributed code to gnome since it was started in 1997; many more have contributed in other important ways, including translations, documentation, and quality assurance.
Última atualização: 2014-08-15
Frequência de uso: 3
Qualidade:
Referência:
zitto kabwe, ambaye ni mbunge na pia ni mwenyekiti wa kamati ya hesabu za serikali, alifafanua baadhi ya mambo ya msingi yaliyomo kwenye waraka uliovuja katika blogu yake, na kuchambua kwa kina kuhusiana na hoja ya kuwa hati ya makubaliano kutokuwekwa bayana.
zitto kabwe, a member of parliament and chairman of the public accounts committee, highlighted some of the leaked document’s key points in a q&a on his blog, and critiqued the fact that the psa was not made publicly available.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
miongoni mwa mapendekeo hayo kulikuwa na kipengele cha kuweka utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya ukimwi kama sababu ambayo haikubaliki kwa binadamu kubaguliwa katika mazingira ya kazi, haki inayoangukia kwenye kanuni za msingi zinazoongoza haki za kazi, kwenye sehemu b, ibara ya 2 ya waraka huo wakisheria.
amongst those suggestions were the inclusion of gender identity and hiv status as motives for which it is never admisible for a human being to be discriminated against in a work environment, which fall within the fundamental principles that govern our labor rights, in section b, article 2 of that legal document.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
"ni jambo jema kwangu binafsi na familia ya global voices," aliandika kwenye waraka ulioelekezwa kwa familia ya global voices, "kuachia ngazi sasa na kuruhusu mambo mapya yatokee."
"it's best both for me and global voices," she wrote in an e-mail to the community, "to step down now and allow for brand new things to happen."
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível