Você procurou por: wastani wa theluji nzito (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

wastani wa theluji nzito

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

theluji nzito yaharibu vibaya shule huko gilan.

Inglês

a school was destroyed in gilan under heavy snow.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

maji yalifurika na kufikia wastani wa kima cha kiuno.

Inglês

water level rose up to the waist level.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

idadi hiyo inafanya wastani wa mapendekezo yanayofikia 87 kwa kila kundi shindanishi.

Inglês

that averages about 87 nominations per category.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

meksiko ina wastani wa juu zaidi wa utekaji ikilinganishwa na nchi yoyote ile duniani.

Inglês

mexico has the highest number of kidnappings per capita of any country in the world.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

duniani kote, wastani wa vijana milioni 1.3 walipoteza maisha yao mwaka 2012.

Inglês

worldwide, an estimated 1.3 million adolescents died in 2012.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

-ukubwa wa familia inayotakiwa ni wastani wa watoto sita vijijini, ukifananisha na watatu jijini ouagadougou.

Inglês

-the size of the desired family is on average of 6 children in rural areas, against 3 in ouagadougou.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hata hivyo, wagonjwa waliohamishwa kwa chumba cha hali mahututi walikuwa na muda wastani wa siku saba kati ya kulazwa hospitalini na kufa.

Inglês

however, patients transferred to an icu had a median time of seven days between hospitalisation and death.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwa mujibu wa mwandishi wa habari na mwanablogu mónica oblitas, kiwango hiki ni zaidi ya mara mbili ya wastani wa taifa .

Inglês

according to journalist and blogger mónica oblitas, this rate is more than double the national average .

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

katika uchunguzi wa hali za mapema, muda wastani wa kuonyesha dalili za mwanzo hadi kifo ulikuwa siku 14, na kiwango kamili cha siku sita hadi 41.

Inglês

in a study of early cases, the median time from exhibiting initial symptoms to death was 14 days, with a full range of six to 41 days.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

ikiwa tps imepelekea ongezeko la asilimia 20 kwa wastani wa pesa zinazotumwa na kila mhamiaji, tunaweza kutarajia ongezeko la dola 360 za pesa zinazotumwa kwenda haiti katika 2010.

Inglês

if the tps resulted in a 20 percent increase in the average remittance per migrant, we would expect an additional $360 million remittance flows to haiti in 2010!

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

lakini jambo la kipekee kuhusu malkia rania ni kwamba yeye ni muarabu pekee maarufu anayetumia mtandao wa intaneti kwa ajili ya mazungumzo na ulimwengu wa magharibi ili kutetea mtazamo wa wastani wa kiislamu.

Inglês

but what is unique about queen rania is that she is the only arab figure who uses the internet to engage in a dialogue with the west to promote a moderate islamic speech.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

makala za tukio hili katika mitandao ya kijamii imekuwa ikichangiwa na wastani wa watumiaji wa mtandao 1000 kwa kila makala, kama hii hapa inayoshinikiza maandamano ya tano siku ya jumatatu, juni 17.

Inglês

the social movement's posts have been receiving an average of 1000 replies from netizens per post, like this one calling for a fifth demonstration on monday, june 17.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kila mmoja anaonekana kusema ah alikufa akiwa bado kijana wa miaka 50, na nilifikiri pia kwamba katika uganda wastani wa umri wa kuishi ni miaka 50. je unajua kuwa katika afrika kufa kwa uzee ni historia?

Inglês

everyone seemed to say oh he died young at 50, and then i thought that actually in uganda life expectancy is at 50. do you know in many african countries dying of old age is almost history?

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

katika makala iliyochapishwa mwezi machi, wachumi william easterly na yaw nyarko wanaeleza kwamba katika nchi zilizo chini ya jangwa la sahara, kiasi cha fedha kinachotumwa na wahamiaji wanaotoka bara hilo ni wastani wa asilimia 81 ya misaada ya fedha kutoka nchi za kigeni kwa kila nchi.

Inglês

in an article published in march, economists william easterly and yaw nyarko noted that in sub-saharan africa, remittances (money sent by immigrants abroad back to their home countries) on average amounted to 81 percent of the foreign aid received by an individual country.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

wastani wa talaka ulipanda kutoka 20,000 kwa mwaka kufikia zaidi ya 200,000 kwa mwaka katika kipindi cha miaka kumi. amini usiamini, wanandoa wengine huamua kutengana kwa sababu mume na mke wana mwelekeo tofauti kuhusu masuala ya siasa.

Inglês

the divorce rate jumped from an average of 20,000 a year to more than 200,000 a year over the decade believe it or not, some couples decide to divorce because the husband and wife have different takes on political issues.

Última atualização: 2023-10-09
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

wastani wa watu milioni 5.7 nchini afrika ya kusini wanasemekana kuishi na vvu na kiasi cha watu 350,000 walifariki kutokana na ukimwi mwaka jana nchini humo (wastani wa watu 1,000 kila siku).

Inglês

roughly 5.7 million people in south africa are living with hiv and 350,000 people died of the disease last year (almost 1,000 deaths a day).

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

uoevu mwingine, kama vile benzalkonium chloride na chlorhexidine gluconate (kemikali ya upasuaji), hazifanyi kazi vizuri. katika utafiti huko hong kong study, sampuli za mate zilichukuliwa kwa wastani wa siku mbili baada ya kuanza kulazwa hospitalini.

Inglês

other solutions, such as benzalkonium chloride and chlorhexidine gluconate (a surgical disinfectant), are less effective.in a hong kong study, saliva samples were taken a median of two days after the start of hospitalization.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kuosha kwa sabuni pekee husababisha usambazaji zaidi ya mara tatu wa kiwango cha ugonjwa unaoambukizwa na bakteria unaoenezwa kwa chakula ikilinganishwa na kuosha na sabuni yenye kemikali ya kuua bakteria.ikilinganishwa na kusugua mikono kwa kutumia mchanganyiko ulio na pombe na kuosha mikono kwa sabuni iliyo na kemikali za kuua bakteria kwa muda wa wastani wa sekunde 30 yote yalionyesha kuwa kusugua mikono kwa mchanganyiko ulio na pombe kulipunguza maambukizi ya bakteria kwa 26% zaidi kuliko sabuni yenye kemikali ya kuua bakteria.

Inglês

washing with plain soap results in more than triple the rate of bacterial infectious disease transmitted to food as compared to washing with antibacterial soap.comparing hand-rubbing with alcohol-based solution with hand washing with antibacterial soap for a median time of 30 seconds each showed that the alcohol hand-rubbing reduced bacterial contamination 26% more than the antibacterial soap.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,790,552,365 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK