Você procurou por: wilayani (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

wilayani

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

mafuriko wilayani bau, sarawak.picha kutoka kwenye blogu ya denis.

Inglês

flooding in bau, sarawak. pictures from the blog of denis

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

zaidi ya watu 8000 waliokolewa wilayani bau na kupelekwa kwenye makazi 24 ya muda mfupi.

Inglês

more than 8,000 people in the bau district were evacuated in 24 temporary shelters.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwezi desemba mwaka jana, thinley tsekar na gonpo tenzin walikamatwa wilayani diru.

Inglês

last december, thinley tsekar and gonpo tenzin were arrested in diru county.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kisha yesu aliondoka wilayani tiro, akapitia sidoni, akafika ziwa galilaya kwa kupitia nchi ya dekapoli.

Inglês

and again, departing from the coasts of tyre and sidon, he came unto the sea of galilee, through the midst of the coasts of decapolis.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwaka 2011, mwimbaji wa kike anayefahamika vizuri hortsang lhalung tso aliwekwa kizuizini kabla ya kuhudhuria onyesho la utamaduni wa kitibeti wilayani sangchu akiwana waimbaji na wanamuziki wengine maarufu wa kitibeti.

Inglês

in 2011, well-known female singer hortsang lhalung tso was detained before attending a tibetan culture show in sangchu county with other popular tibetan singers and musicians.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kibuule alitoa matamshi hayo akiwa kwenye halmashauri ya kajara, wilayani ntungamo siku ya jumamosi septemba 21, 2013 wakati akihudhuria ufunguzi wa chama cha ushirika na akiba cha vijana wa kajara.

Inglês

kibuule made the comments in kajara county, ntungamo district on saturday september 21, 2012, while attending the launch of kajara youth development cooperative and savings society.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kama siku moja baada ya matukio yasiyo ya kiungwana kutokea katika mkutano ulioandaliwa na mwenyekiti wa taifa wa udf dk. bakili muluzi huko goliati wilayani thyolo, tukio hilo lilichukua sura mpya pale basi la chama cha dpp kutwangwa mawe wilayani machinga siku ya jumatano.

Inglês

barely a day after some some nasty scenes occured at a rally organised by united democratict front national chairman dr bakili muluzi at goliati in thyolo district, the scenerior wore a new face when a democratic progressive party bus was on wednsday stoned in machinga district.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwamba hassan alisema siku ya tarehe 31 machi 2020 saa takriban 1000hrs kwenye uwanja wa opec mine block d kule mirerani wilayani simanjiro mkoa wa manyara kuwa dereva na incharge ya gari na reg.no. t954aex fanya bedford iweze kuendesha gari iliyosemwa kwa uangalifu na matokeo yake uligonga nguzo moja ya umeme na ukasababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme

Inglês

that hassan s/o saidd mzava on the day of 31st march 2020 at about 1000hrs at opec mine block d in mirerani at simanjiro district in manyara region being a driver and incharge of a motorvehicle with a reg.no. t954aex make bedford you drive the said motorvehicle carelessly and at result you knocked one electric pillar and you caused damage to electricity infrastructure

Última atualização: 2020-04-15
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

google translatehistoria fupi ya chama: chama cha wasioona tanzania kilianzishwa mwaka 1964 na wanafunzi wa chuo cha ufundi manoleo mkoani tabora. lengo la kuanzishwa kwa chama lilikuwa kwa ajili ya kupigania maslahi ya wanachuo wa chuoni hapo. baadaye mwaka 1972 chama cha wasioona kilisajiliwa kwa namba za usajili 5034 na kuwa chama cha kitaifa na makao makuu kuhamishiwa dar es salaam. lengo likiwa kuwaunganisha wasioona wote nchini, kupigania haki na maslahi yao kwa njia ya ushawishi na utetezi. chama cha wasioona kina wanachama zaidi ya 3000 na matawi zaidi ya 105. aidha, chama cha wasioona wilaya ya temeke kilianzishwa mwka 2001 na wanachama waliokuwa wakiishi wilayani hapo, lengo likiwa kupigania haki na maslahi ya wasioona wa wilaya ya temeke. tawi hili lina zaidi ya wanachama 180.

Inglês

google translate

Última atualização: 2015-01-17
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Consiga uma tradução melhor através
7,720,502,841 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK