Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
chishala aliandika kile alichofikiri ni suluhisho la kwenda mbele kwa taifa la zambia:
chishala then posed some ways forward for zambia:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
zaidi ya ndio, tunaweza, ndio, ni lazima tufanyie kazi mabadiliko yanayosemwa ili kwenda mbele.
beyond the yes, we can, yes, we must implement the said changes to move forward
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa kutenda papo hapo bila ya kusubiri ushauri wa namna bora ya kwenda mbele kutoka kwa mtu yeyote, wanafunzi walionyesha kwamba walikuwa na uwezo wao wenyewe, kwa kutambua kwamba ili kukabiliana na hali hiyo, ilikuwa ni muhimu kwao kuingilia kati na kuhamasisha.
by acting spontaneously without waiting for a go ahead word from anyone, young students demonstrated that they were capable on their own, to realize that to deal with the situation, it was necessary for them to intervene and mobilize.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
polisi wanapiga mabomu ya machozi kutawanya watu @mirembe_maria (masaa 14 yaliyopita): maandamano ya chuo kikuu cha makerere yamewaacha watu 2 wamefariki na mmoja katika hali mbaya, je ni njia ipi serikali itatumia kwenda mbele baada ya yote haya?
police firing teargas disperse crwd @mirembe_maria (14 hours ago): the makerere university strike has left two dead and one in critical condition, what is the way forward for the government about all this??
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.