Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
zaidi, hata vifaa vya kuhifadhia taarifa mara nyingi hazipo nchini ajentina
inoltre, anche i server che immagazzinano le informazioni sono spesso al di fuori dell'argentina.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tajiri huyo akafikiri moyoni mwake: nitafanyaje nami sina mahali pa kuhifadhia mavuno yangu?
egli ragionava tra sé: che farò, poiché non ho dove riporre i miei raccolti
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
vituo vingi vya afya vinaendeshwa bila ya kuwa na dawa kati ya miezi 2 hadi 3 tokea dawa zipelekwe, wakati katika majengo ya serikali ya kuhifadhia dawa kuna hifadhi kubwa.
molti centri sanitari esauriscono i medicinali in 2-3 mesi tra una consegna e l'altra, mentre i magazzini centrali pullulano di provviste.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
uganda imeshapiga hatua kubwa katika miaka kadhaa iliyopita kwa kujenga majengo kwa ajili ya mifumo ya kusambaza dawa kwa jamii- vituo vya kuhifadhia na kusambazia dawa- lakini huduma za afya bado si za kuridhisha.
l'uganda ha fatto passi da gigante negli ultimi anni, costruendo l' "hardware" del sistema di pubblica distribuzione dei medicinali – magazzini centrali e punti di distribuzione –; l'efficienza del "software", tuttavia, lascia un po' a desiderare.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
hatua chache kutoka hapo, katika chumba kidogo cha kuhifadhia vifaa vya madaktari, wahudumiaji walipageuza kuwa mahali pa kuhifadhia miili ya watu, kulikwa na miili 6 iliyokuwa imelazwa sakafuni, baadhi ya maiti nguo zikiwa zimechanwachanwa na nguvu ya milipuko.
qualche metro più in là in un piccolo spazio usato come magazzino dallo staff dell'ospedale è diventato un obitorio di fortuna, sei corpi giacciono a terra, alcuni con i vestiti a brandelli.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: