Você procurou por: machi (Suaíli - Italiano)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Italiano

Informações

Suaíli

machi

Italiano

marzo

Última atualização: 2013-01-18
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

picha ya mwandishi wa makala haya tarehe 1 machi, 2014.

Italiano

foto dell'autore, 1 marzo 2014.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

utawala huo hauitambui siku ya machi 8, na umepiga marufuku mashirika ya wanawake kusherehekea siku hiyo.

Italiano

non riconosce l'8 marzo e ha diffidato le organizzazioni femminili dal celebrare questa data.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

machi 16 ni siku ya 1000 ya kifungo cha reenyotalemu na inaonyesha namna ethipia inavyotawala kiimla, uonevu na kwa unyanyasaji

Italiano

il 16 marzo è il millesimo giorno di imprigionamento di reeyot alemu e un esempio di come l'etiopia sia governata da precetti, ingiustizia e oppressione.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

khartabil alikamatwa mnamo machi 15, 2012, siku ya kukumbuka mwaka mmoja tangu kuanza kwa mapinduzi ya syria.

Italiano

khartabil è stato arrestato il 15 marzo 2012, giorno del primo anniversario dell'inizio della rivoluzione siriana.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

edigio vaz alianzisha mjadala katika ulimwengu wa blogu za msumbiji mwezi machi juu ya kuvunjika kwa mawasiliano hivi karibuni kati ya mataifa wafadhili na serikali yake

Italiano

edígio vaz ha dato il via a un dibattito nella blogosfera locale sulla recente interruzione dei rapporti tra le nazioni donatrici e il suo governo:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

makala haya ni sehemu ya 46 ya #lunesdeblogsgv (jumatatu ya blogu ya gv) mnamo machi 23, 2015.

Italiano

quest'articolo fa parte del 46esimo #lunesdeblogsgv (lunedì dei blog su gv) del 23 marzo 2015.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

alishiriki pia katika kipindi cha maswali na majibu na waandishi wa habari kufuatia hukumu hiyo mnamo machi 14 akieleza pamoja na mambo mengine umuhimu wa picha za video katika uendeshaji mashitaka.

Italiano

in seguito ha partecipato anche ad un dibattito con dei giornalisti, durante il quale ha spiegato come il video sia stato di fondamentale importanza per la decisione del giudice.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

wakati tumenyimwa fursa ya kusherehekea siku ya machi 8, 2012 au kuonyesha matakwa yetu mitaani, tumechukua fursa hii kusema kwamba tunapinga vikali vita na kila moja ya filamu hizi fupi inaeleza sababu zetu za kufanya upinzani huo.

Italiano

l'8 marzo 2012, mentre ci veniva negata la possibilità di celebrare questa festa e rivendicare i nostri diritti in piazza, abbiamo voluto affermare che ci opponiamo alla guerra. ciascuno di questi brevi filmati esprime le ragioni della nostra protesta.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

machi 16, 2014 inakuwa ndiyo siku ya 1,000 ya kufungwa kwa mwandishi wa ethiopia reeyot alemu. anatumikia kifungo cha miaka mitano jela baada ya kutiwa hatiani katika mashitaka ya ugaidi mwezi januari 2012.

Italiano

lo scorso sedici marzo la giornalista etiope reeyot alemu , condannata a cinque anni di reclusione dopo essere stata dichiarata colpevole di terrorismo nel gennaio 2012, ha scontato il suo millesimo giorno di prigione.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

polisi pia walikamata vipaza sauti katika mkutano wa hadhara wa tarehe 19 machi, 2011, kwenye mji wa rifisque, karibu na dakar, bila kujali ukweli wa kwamba kundi hilo lilipewa kibali rasmi cha kufanya tukio lile.

Italiano

degli altoparlanti sono stati sequestrati dalla polizia durante un raduno a rufisque. il movimento ha tuttavia ricevuto l'autorizzazione ufficiale per l'evento del 19 marzo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

machi 5, umoja wa shirika la ulaya kwa haki za msingi (fra) ilichapisha matokeo ya utafiti juu ya unyanyasaji dhidi ya wanawake, uliokuwa wa kina zaidi na wa aina yake kuwahi kufanywa.

Italiano

lo scorso 5 marzo l'agenzia dell'unione europea per i diritti fondamentali (fra) ha reso pubblici i risultati della sua inchiesta sulla violenza sulle donne , la più grande che sia mai stata fatta nel mondo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

#whatiloveaboutafrica ilivyoenea duniani: picha kwa hisani ya semhar araia - @semhar hatua hii, iliyoongozwa na semhar araia , mwanablogu katika diaspora african women network (shirika la wanawake walio ugenini), ilianza kuenea duniani katika twitter tarehe 13 machi 2012. upande mwingine wa hadithi

Italiano

l'intento non è certo quello di mettere in discussione il valore della campagna di "invisible children", a cui va il merito di aver aperto gli occhi del mondo sugli orrendi crimini dell'esercito di resistenza del signore di joseph kony, pur nelle tante controversie suscitate finora.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia
Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,794,835,024 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK