A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
akakaripiwa kwa ajili ya uovu wake. punda ambaye hasemi alinena kwa sauti ya binadamu, akaukomesha wazimu wa huyo nabii.
correptionem vero habuit suae vesaniae subiugale mutum in hominis voce loquens prohibuit prophetae insipientia
na tukisema yalitoka kwa binadamu, watu wote hapa watatupiga mawe, maana wote wanaamini kwamba yohane alikuwa nabii."
si autem dixerimus ex hominibus plebs universa lapidabit nos certi sunt enim iohannem prophetam ess
yesu akasema, "heri wewe simoni mwana wa yona, kwa maana si binadamu aliyekufunulia ukweli huu, ila baba yangu aliye mbinguni.
respondens autem iesus dixit ei beatus es simon bar iona quia caro et sanguis non revelavit tibi sed pater meus qui in caelis es
kwa njia ya mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, nayo ikasababisha kifo. hivyo kifo kimeenea katika jumuiya yote ya binadamu, kwa maana wote wametenda dhambi.
propterea sicut per unum hominem in hunc mundum peccatum intravit et per peccatum mors et ita in omnes homines mors pertransiit in quo omnes peccaverun
kama maandiko yasemavyo: "kila binadamu ni kama nyasi, na utukufu wake wote ni kama maua ya porini. nyasi hunyauka na maua huanguka.
quia omnis caro ut faenum et omnis gloria eius tamquam flos faeni exaruit faenum et flos decidi
yesu akawatazama, akawaambia, "kwa binadamu haiwezekani, lakini kwa mungu si hivyo, maana kwa mungu mambo yote huwezekana."
et intuens illos iesus ait apud homines inpossibile est sed non apud deum omnia enim possibilia sunt apud deu
majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.
temptatio vos non adprehendat nisi humana fidelis autem deus qui non patietur vos temptari super id quod potestis sed faciet cum temptatione etiam proventum ut possitis sustiner
kama mnaitimiza ile sheria ya utawala kama ilivyoandikwa katika maandiko matakatifu: "mpende binadamu mwenzako kama unavyojipenda wewe mwenyewe", mtakuwa mnafanya vema kabisa.
si tamen legem perficitis regalem secundum scripturas diliges proximum tuum sicut te ipsum bene faciti
sasa nataka kibali cha nani: cha binadamu, ama cha mungu? au je, nataka kuwapendeza watu? kama ningefanya hivyo, mimi singekuwa kamwe mtumishi wa kristo.
modo enim hominibus suadeo aut deo aut quaero hominibus placere si adhuc hominibus placerem christi servus non esse
lakini, ni kama yasemavyo maandiko matakatifu: "mambo ambayo jicho halijapata kuyaona wala sikio kuyasikia, mambo ambayo binadamu hajapata kuyafikiria moyoni, hayo ndiyo mungu aliyowatayarishia wale wampendao."
sed sicut scriptum est quod oculus non vidit nec auris audivit nec in cor hominis ascendit quae praeparavit deus his qui diligunt illu