Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mtu wa namna hiyo, mwenye nia mbili na asiye na msimamo katika mwenendo wake wote,
non ergo aestimet homo ille quod accipiat aliquid a domin
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea,
ponite ergo in cordibus vestris non praemeditari quemadmodum respondeati
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mungu aliye msingi wa saburi na faraja yote, awajalieni ninyi kuwa na msimamo mmoja kufuatana na mfano wake kristo yesu,
deus autem patientiae et solacii det vobis id ipsum sapere in alterutrum secundum iesum christu
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
maana wasaidizi wanaofanya kazi yao vizuri hujipatia msimamo mzuri, na wanaweza kusema bila hofu juu ya imani yao katika kristo yesu.
qui enim bene ministraverint gradum sibi bonum adquirent et multam fiduciam in fide quae est in christo ies
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.
nam alius iudicat diem plus inter diem alius iudicat omnem diem unusquisque in suo sensu abunde
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini ninyi, wapenzi wangu, mmekwisha jua jambo hili. basi, muwe na tahadhari msije mkapotoshwa na makosa ya waasi, mkaanguka kutoka katika msimamo wenu imara.
vos igitur fratres praescientes custodite ne insipientium errore transducti excidatis a propria firmitat
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini mtu anayeona shaka juu ya chakula anachokula, anahukumiwa kama akila, kwa sababu msimamo wa kitendo chake haumo katika imani. na, chochote kisicho na msingi wake katika imani ni dhambi.
qui autem discernit si manducaverit damnatus est quia non ex fide omne autem quod non ex fide peccatum es
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kutokana na kuungana kwetu na bwana, nina tumaini kubwa kwamba ninyi hamtakuwa na msimamo tofauti nami. tena yeyote huyo anayewavurugeni--awe nani au nani--hakika ataadhibiwa.
ego confido in vobis in domino quod nihil aliud sapietis qui autem conturbat vos portabit iudicium quicumque est ill
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
je, mnadhani nilipopanga hivyo nimekuwa kama mtu asiye na msimamo? je, mnadhani kwamba ninafanya uamuzi wangu kwa fikira za kibinadamu na kwamba nasema "ndiyo" na "siyo" papo hapo?
cum hoc ergo voluissem numquid levitate usus sum aut quae cogito secundum carnem cogito ut sit apud me est et no
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível