Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mungu hakutuita tuishi maisha ya zinaa, bali tuishi katika utakatifu.
non enim vocavit nos deus in inmunditia sed in sanctification
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kila mwanamume anapaswa kujua namna ya kuishi na mkewe kwa utakatifu na heshima,
ut abstineatis vos a fornicatione ut sciat unusquisque vestrum suum vas possidere in sanctificatione et honor
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mintarafu utakatifu wake wa kimungu, alithibitishwa kwa uwezo mkuu kwamba ni mwana wa mungu kwa kufufuliwa kutoka wafu.
qui praedestinatus est filius dei in virtute secundum spiritum sanctificationis ex resurrectione mortuorum iesu christi domini nostr
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
vaeni hali mpya ya utu ambayo imeumbwa kwa mfano wa mungu na ambayo hujionyesha katika maisha ya kweli ya uadilifu na utakatifu.
et induite novum hominem qui secundum deum creatus est in iustitia et sanctitate veritati
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hata hivyo, mwanamke ataokolewa kwa kupata watoto, kama akidumu katika imani, upendo, utakatifu na unyofu.
salvabitur autem per filiorum generationem si permanserint in fide et dilectione et sanctificatione cum sobrietat
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
jitahidini kuishi kwa amani na watu wote. ishini maisha ya utakatifu, kwa sababu hakuna mtu atakayemwona bwana bila ya maisha kama hayo.
pacem sequimini cum omnibus et sanctimoniam sine qua nemo videbit dominu
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wazazi wetu hapa duniani walituadhibu kwa muda, kama wao wenyewe walivyoona kuwa vema; lakini mungu anatuadhibu kwa ajili ya faida yetu wenyewe, tupate kuushiriki utakatifu wake.
et illi quidem in tempore paucorum dierum secundum voluntatem suam erudiebant nos hic autem ad id quod utile est in recipiendo sanctificationem eiu
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini sasa, mmekwisha kombolewa kutoka utumwa wa dhambi na mmekuwa watumishi wa mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu, na matokeo yake ni uzima wa milele.
nunc vero liberati a peccato servi autem facti deo habetis fructum vestrum in sanctificationem finem vero vitam aeterna
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basi, petro alipowaona watu hao akawaambia, "wananchi wa israeli, kwa nini mnashangazwa na jambo hili? mbona mnatukodolea macho kana kwamba ni kwa nguvu zetu au utakatifu wetu sisi wenyewe tumemfanya mtu huyu aweze kutembea?
videns autem petrus respondit ad populum viri israhelitae quid miramini in hoc aut nos quid intuemini quasi nostra virtute aut pietate fecerimus hunc ambular
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível