Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
je, italia iko tayari kwa waziri aliyezaliwa afrika?
هل إيطاليا على استعداد لوزيرة إفريقية المولد؟
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tangu mwanzo wa ulimwengu haijasikika kwamba mtu ameyafumbua macho ya mtu aliyezaliwa kipofu.
منذ الدهر لم يسمع ان احدا فتح عيني مولود اعمى.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
baada ya wote, akanitokea hata mimi, mimi niliyekuwa kama mtu aliyezaliwa kabla ya wakati.
وآخر الكل كانه للسقط ظهر لي انا.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
thalia rahme alipendekeza kitabu kutoka kwa mwandishi wa kifaransa aliyezaliwa lebanon amine maalouf.
أشارت تاليا رحمة لكتاب أمين معلوف، لبناني الأصل يكتب باللغة الفرنسية.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini wakati ule maalumu ulipotimia, mungu alimtuma mwanawe aliyezaliwa na mwanamke, akaishi chini ya sheria
ولكن لما جاء ملء الزمان ارسل الله ابنه مولودا من امرأة مولودا تحت الناموس
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini kama vile siku zile yule mtoto aliyezaliwa kwa njia ya kawaida alimdhulumu yule aliyezaliwa kwa uwezo wa roho wa mungu, vivyo hivyo na siku hizi.
ولكن كما كان حينئذ الذي ولد حسب الجسد يضطهد الذي حسب الروح هكذا الآن ايضا.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
"je, italia iko tayari kwa waziri wa serikalki aliyezaliwa afrika?," donata columbro anauliza:
هل إيطاليا مستعدة لوجود وزيرة في الحكومة، إفريقية المولد؟ دوناتا كوليمبرو تتساءل:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
upepo huvuma kuelekea upendako; waisikia sauti yake, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda. ndivyo ilivyo kwa mtu aliyezaliwa kwa roho."
الريح تهب حيث تشاء وتسمع صوتها لكنك لا تعلم من اين تأتي ولا الى اين تذهب. هكذا كل من ولد من الروح
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
na cécile kyenge, mwenye umri wa miaka 48, daktari wa upasuaji macho na raia wa italia aliyezaliwa kongo, ni waziri mpya wa ushirikiano katika baraza la mawaziri la waziri mkuu enrico letta.
ومواطنة إيطالية كونغولية المولد وجراحة عيون، سيسيليا كيينكي، 48 عاما، كوزيرة جديدة في حكومة الوزير الأول أنريكو ليتا.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wakauliza, "yuko wapi mtoto, mfalme wa wayahudi, aliyezaliwa? tumeiona nyota yake ilipotokea mashariki, tukaja kumwabudu."
قائلين اين هو المولود ملك اليهود. فاننا رأينا نجمه في المشرق واتينا لنسجد له.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível