Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
aliye asili ya jamaa zote duniani na mbinguni.
الذي منه تسمى كل عشيرة في السموات وعلى الارض.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basi, wakamhubiria neno la bwana yeye pamoja na jamaa yake.
وكلماه وجميع من في بيته بكلمة الرب.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wasalimu priska na akula, pamoja na jamaa ya onesiforo.
سلم على فرسكا واكيلا وبيت انيسيفورس.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yeye atakuambia maneno ambayo kwayo wewe na jamaa yako yote mtaokolewa.
وهو يكلمك كلاما به تخلص انت وكل بيتك.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia.
وان انقسم بيت على ذاته لا يقدر ذلك البيت ان يثبت.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wao wakamjibu, "mwamini bwana yesu nawe utaokolewa pamoja na jamaa yako yote."
فقالا آمن بالرب يسوع المسيح فتخلص انت واهل بيتك.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na tano, waje misri.
فارسل يوسف واستدعى اباه يعقوب وجميع عشيرته خمسة وسبعين نفسا.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wazazi wenu, ndugu, jamaa na rafiki zenu watawasaliti ninyi; na baadhi yenu mtauawa.
وسوف تسلمون من الوالدين والاخوة والاقرباء والاصدقاء. ويقتلون منكم.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mtandao wa twita umefungiwa leo nchini uturuki, jamaa wanatengeneza huduma ya dsn ya google kwenye mabango ya chama tawala
الليلة تم حجب تويتر في تركيا.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
bwana aihurumie jamaa ya onesiforo, kwa sababu aliniburudisha rohoni mara nyingi, wala hakuona haya kwa kuwa nilikuwa kifungoni,
ليعط الرب رحمة لبيت انيسيفورس لانه مرارا كثيرة اراحني ولم يخجل بسلسلتي
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
na tangu sasa, jamaa ya watu watano itagawanyika; watatu dhidi ya wawili, na wawili dhidi ya watatu.
لانه يكون من الآن خمسة في بيت واحد منقسمين ثلثة على اثنين واثنان على ثلثة.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yesu akawaambia, "nabii hakosi heshima isipokuwa katika nchi yake, kwa jamaa zake na nyumbani mwake."
فقال لهم يسوع ليس نبي بلا كرامة الا في وطنه وبين اقربائه وفي بيته.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
ujue pia kwamba hata elisabeti, jamaa yako, naye amepata mimba ingawa ni mzee, na sasa ni mwezi wa sita kwake yeye ambaye watu walimfahamu kuwa tasa.
وهوذا اليصابات نسيبتك هي ايضا حبلى بابن في شيخوختها وهذا هو الشهر السادس لتلك المدعوة عاقرا.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini kama mtu hawatunzi watu wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani kwake, basi, mtu huyo ameikana imani, na ni mbaya zaidi kuliko mtu asiyeamini.
وان كان احد لا يعتني بخاصته ولا سيما اهل بيته فقد انكر الايمان وهو شر من غير المؤمن.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
alikuwa mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote walimcha mungu; alikuwa anafanya mengi kusaidia maskini wa kiyahudi na alikuwa anasali daima.
وهو تقي وخائف الله مع جميع بيته يصنع حسنات كثيرة للشعب ويصلّي الى الله في كل حين.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. ikiwa wamemwita mkubwa wa jamaa beelzebuli, je hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo majina mabaya zaidi?
يكفي التلميذ ان يكون كمعلمه والعبد كسيده. ان كانوا قد لقبوا رب البيت بعلزبول فكم بالحري اهل بيته.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ndugu, mnaifahamu jamaa ya stefana; wao ni watu wa kwanza kabisa kuipokea imani ya kikristo katika akaya, na wamejitolea kuwatumikia watu wa mungu. ninawasihi ninyi ndugu zangu,
واطلب اليكم ايها الاخوة. انتم تعرفون بيت استفاناس انهم باكورة اخائية وقد رتبوا انفسهم لخدمة القديسين.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wakimbizi wakutanishwa hivi sasa dunia imeunganishwa zaidi kuliko ilivyowahi kuwa kabla, lakini wakati maelfu ya wakimbizi wanazikimbia nchi zao zenye migogoro au majanga na hivyo kupoteza mawasiliano na ndugu na jamaa zao -ambao mara nyingi hupoteza mawasiliano hayo milele.
أصبح العالم الآن متصل ببعضه البعض أكثر من أي وقت مضى، ولكن عندما ينزح اللاجئون هاربين من صراع أو كارثة ما ينقطع اتصالهم مع أحبائهم - أحيانًا للأبد.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini yeye, akiwa anayajua mawazo yao, akawaambia, "ufalme wowote uliofarakana wenyewe, hauwezi kudumu; kadhalika, jamaa yeyote inayofarakana huangamia.
فعلم افكارهم وقال لهم كل مملكة منقسمة على ذاتها تخرب. وبيت منقسم على بيت يسقط.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
basi, wakaimba wimbo huu mpya: "wewe unastahili kukitwaa hicho kitabu na kuivunja mihuri yake. kwa sababu wewe umechinjwa, na kwa damu yako umemnunulia mungu watu kutoka katika kila kabila, lugha, jamaa na taifa.
وهم يترنمون ترنيمة جديدة قائلين مستحق انت ان تأخذ السفر وتفتح ختومه لانك ذبحت واشتريتنا للّه بدمك من كل قبيلة ولسان وشعب وامّة
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível