Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
maana sisi tunashirikiana na kristo ikiwa tutazingatia kwa uthabiti tumaini tulilokuwa nalo mwanzoni.
لاننا قد صرنا شركاء المسيح ان تمسكنا ببداءة الثقة ثابتة الى النهاية
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa mujibu wa taarifa za habari, washairi hao wamewekwa kizuizini tangu mwanzoni wa mwezi desemba.
وقد أفادت الأنباء بأنه تم اعتقالها منذ أوائل ديسمبر/ كانون الأول.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wakati vita vikiendelea huko gaza, taarifa zilizotolewa mwanzoni mwa mwezi kuhusu usafirishwaji wa shehena kubwa ya silaha kutoka marekani kuelekea israeli kupitia bandari ya astakos huko ugiriki zimezua kelele kutoka kwa wanablogu wa kigiriki.
مع اشتعال الحرب في غزة، أظهرت التقارير الإخبارية في وقت سابق هذا الشهر إرسال شحنة أسلحة أضخم من المعتاد مرسلة من الولايات المتحدة إلى إسرائيل عن طريق مرفأ استاكوس اليوناني الخاص، وهذا سبّب هياج المدونين اليونانيين.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
akiwa madarakani, serikali mpya ya kijamaa inabadilisha (ilibadilisha) uso wa nchi ambayo mwanzoni ilifahamika zaidi kama sehemu ya kihistoria nzuri na sehemu alipozaliwa mpigania uhuru wa latini amerika, simón bolivar.
مع وجوده في السلطة غيرت حكومة اشتراكية جديدة وجه البلاد، المعروفة في السابق بمسابقات الجمال وكونها محل ميلاد سيمون بوليفار، محرر أمريكا اللاتينية.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mwanzoni lilianzishwa kama vile soko la boa vista, eneo la biashara lilikuwa pengine ndio sehemu pekee ambayo palikuwa na uwezekano wa kupata bidhaa zozote – japokuwa kwa njia za vificho, pamoja na bunduki na biashara ya silaha na pia huduma za ngono za watu wazima pamoja na watoto.
في البداية تم تصميم السوق ليحاكي تصميم سوق بوافيستا، كانت المنطقة التجارية تقريباً الموقع الوحيد الذي تستطيع أن تجد فيه القليل من كل شيء - ولو بوسائل خفية، وكان هذا يشمل تجارة البنادق والاتجار الغير المشروع بالأسلحة وعرض البالغين والأطفال للخدمات الجنسية.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: