Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
chicken vaccines
dawa ya minyoo ya kuku
Последнее обновление: 2019-03-29
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
It is possible vaccines in development will not be safe or effective.
Inawezekana kuwa chanjo zinazokuzwa hazikuwa salama au hazitaleta matokeo yanayotarajiwa.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Live-attenuated vaccines have been evaluated in animal models for SARS.
Chanjo za kutoka kwa virusi vilivyopunguziwa makali zimetathminiwa katika miundo ya wanyama kwa ajili ya SARS.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Some vaccines have heterologous effects, also called non-specific effects.
Chanjo zingine zina athari tofauti, pia hujulikana kama athari zisizo maalum.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Pharmaceutical companies are racing to develop antibodies and vaccines against the virus.
Kampuni za bidhaa za dawa zinang'ang'ana kuunda antibodi na chanjo dhidi ya virusi hivi.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Vaccines against SARS and MERS have been tested in non-human animal models.
Chanjo dhidi ya SARS na MARS zimepimwa katika mifano ya wanyama isiyo ya kibinadamu.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
There are yet to be vaccines or antiviral drugs to prevent or treat human coronavirus infections.
Bado hakuna chanjp au dawa za kuzuia virusi au kutibu maambukizo ya virusi vya korona vya binadamau.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Many organizations are using published genomes to develop possible vaccines against SARS-CoV-2.
Mashirika mengi yanatumia jenomu zilizochapishwa kutengeneza chanjo zinazowezekana za kuzuia SARS-CoV-2.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
This decreases the risk of health services being overwhelmed and provides more time for vaccines and treatments to be developed.
Hii hupunguza hatari ya huduma za afya kulemewa na hutoa muda zaidi kwa chanjo na matibabu kutengenezwa.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
A second strategy, subunit vaccines, aims to create a vaccine that sensitises the immune system to certain subunits of the virus.
Mbinu ya pili, kisehemu cha chanjo, kinakusudia kuunda chanjo ambayo inafanya mfumo wa kinga kuhisi visehemu fulani vya virusi.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
International research on vaccines and medicines in COVID-19 are underway by government organisations, academic groups and industry researchers.
Utafiti wa kimataifa wa chanjo na dawa za COVID-19 unaendelezwa na mashirika ya serikali, vikundi vya wasomi, na watafiti wa tasnia.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
The patents cited by various social media posts reference existing patents for genetic sequences and vaccines for other strains of coronavirus such as the SARS coronavirus.
Haki miliki zilizotajwa na machapisho mbalimbali ya mitandao ya kijamii zinarejelea haki miliki zilizopo za mfululizo wa kijentiki na chanjo kwa aina nyingine ya virusi vya korona kama vile virusi vya korona vya SARS.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
A third strategy is that of the nucleic acid vaccines (DNA or RNA vaccines, a novel technique for creating a vaccination).
Mbinu ya tatu ni ya chanjo ya asidi ya kiini cha chembe (chanjo za DNA au RNA, mbinu mpya ya kutengeneza chanjo).
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Theoretically, it is unlikely that genetic drift would render vaccines and antivirals against SARS-CoV-2 ineffective quickly.
Kinadharia, hakuna uwezekano kwamba mabadiliko ya kijenetiki yanaweza kufanya chanjo na dawa za kupambana na virusi dhidi ya SARS-CoV-2 zisiwe za kufaa haraka.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
And why Gambia? because vaccines have to be tested on healthy individuals to assess their effectiveness and MRC has years of experience in conducting such studies.
Ni kwa sababu chanjo hujaribiwa kwa watu wasio na ugonjwa ili kuchunguza ubora wake na kitengo cha cha MRC hapa Gambia kina uzoefu wa miaka mingi katika kufanya tafiti hizi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
When MERS became prevalent, it was believed that existing SARS research may provide a useful template for developing vaccines and therapeutics against a MERS-CoV infection.
Wakati MARS ilianza kuenea, iliaminika kuwa utafiti uliopo wa SARS unaweza kutoa kiolezo muhimu cha kukuza chanjo na matibabu dhidi ya maambukizo ya MERS-CoV.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Effective vaccines are essential for interrupting the chain of transmission from animal reservoirs and infected humans to susceptible hosts and are often complementary to antiviral treatment in the control of epidemics caused by emerging viruses.
Chanjo faafu ni muhimu katika kukatiza msururu wa usambazaji kutoka kwa wanyama na binadamu walioambukizwa kwa watu walio hatarini na zinatumika pamoja na matibabu dhidi ya virusi katika kudhibiti majanga makubwa yanayosababishwa na virusi vinavyoibuka.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Experimental vaccines from any of these strategies would have to be tested for safety and efficacy.On 16 March 2020, the first clinical trial of a vaccine started with four volunteers in Seattle.
Chanjo za majaribio kutokana na mbinu hizi zozote zitalazimika kupimwa kwa ajili ya usalama na ufanisi. Tarehe 16, Machi 2020, jaribio la kwanza la kliniki la chanjo lilianza na watu 4 waliojitolea huko Seattle.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
To stop the recurrent outbreaks of MERS, a comprehensive approach should be taken to develop effective vaccines against MERS-CoV for camels, in combination with other infection control measures.
Ili kukomesha mikurupuko ya mara kwa mara ya MERS, mwelekeo tondoti unapaswa kuchukuliwa ili kuunda chanjo inayofaa dhidi ya MERS-CoV kwa ngamia, pamoja na mikakati mingine ya kudhibiti maambukizi.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
According to research papers published in 2005 and 2006, the identification and development of novel vaccines and medicines to treat SARS was a priority for governments and public health agencies around the world.There is also no proven vaccine against MERS.
Kulingana na makaratasi ya utafiti yaliyochapishwa mwaka 2005 na 2006, utambuzi na ukuaji wa chanjo na dawa mpya za kutibu SARS ulikuwa suala la kipaumbele kwa serikali na mashirika ya afya ya umma kote duniani. Pia hakuna chanjo iliyothibitishwa dhidi ya MERS.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник: