Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
umma wa wapinzani upo, changamoto ni namna ya kuwafanya wafuasi wake waelewe mambo ili wawezi kuwashawishi.
the opposition mass is there, the challenge is simply to shake it out its stupor to then mobilize it.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ili kuwa na mafanikio, hata hivyo, kwanza ni lazima wapate njia ya kuwashawishi raia juu ya umuhimu wake.
in order to be successful, however, they must first find a way to convince citizens of their usefulness.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wakati huohuo, vyama vya siasa pia vinatumia mtandao huu ulio maarufu zaidi katika kuwashawishi vijana wadogo wanaotarajiwa kupiga kura.
meanwhile, political parties are also maximizing the popular social networking site to reach out to younger voters.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kutimia kwa ndoto hii ndani ya muda uliopangwa kumeshindwa kuwashawishi wachambuzi wengi wa masuala ya kisiasa, kwa sababu tu changamoto zilizopo ni nyingi.
it’s a deadline that fails to convince many commentators, if only because the challenges are so great.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mmoja wa vijana hawa wadogo alikuwa akitafuta wenzake ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kung'amua mambo na kujaribu kuwashawishi waende nchini syria.
one of these young men sought out weak-minded peers and tried to convince them to go to syria.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
serekali ilijaribu kuwashawishi watu wasijihusishe na maandamano ya kupinga kuanzishwa kwa ofisi ya oic; pamoja na ushawishi huu, maandamano yalifanyika oktoba 15 katika majiji kadhaa nchini kote.
the government attempted to dissuade people from joining the protests against the setting up of an oic office; despite this, they were held october 15 in several cities across the country.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
tofauti na kile kilichokwisha tangazwa na vyombo vya habari vya kawaida, baadhi ya waandamanaji walijaribu kuwashawishi waandamanaji wengine ili wakusanyike pamoja; kuna mageti mawili, na moja ya mageti hayo kulikuwa na kiasi kikubwa cha uharibifu wa mali.
contrary to what the mainstream media has been broadcasting, some of the protesters were trying to mobilize others to go to congress; there are two bridges/entries and one of them had a higher concentration of vandals.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: