Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
maisha yanaendelea
Analyte
Последнее обновление: 2021-01-19
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Maisha ya raia wa Conakry bado yanaendelea.
The heart of Conakry is still beating.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Majadiliano haya yanaendelea lakini huenda yakacheleweshwa.
These discussions are continuing but may be delayed.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Mapigano yanaendelea wakati makala haya yakiandikwa.
The clashes continue at the time of filing this post.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Matangazo rasmi ya uchaguzi huo uliofanyika Jumanne bado yanaendelea kutangazwa.
The official results of Tuesday’s election are still to be announced.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Inasikitisha kwamba mapigano yanaendelea kutokea tena katika mlinganyo wa siasa za Naijeria:
It is pathetic that violence continually reoccurs in Nigeria’s political equation:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Mrie: Nchini Syria, mabomu bado yanaendelea kulipuliwa na kila siku watu wanaendelea kufa.
Mrie: In Syria the shelling is still going on and everyday we have more dead people.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Mashirika kadhaa yalibainisha kwamba waathirika wa kimbunga wanapata nafuu pole pole lakini matatizo mengi yanaendelea.
Several organizations have observed that the typhoon victims are slowly recovering but many problems persist.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Maandamano makubwa ya kumtaka rais wa Misri Mohamed Morsi ajiuzulu yanaendelea nchini Misri kwa siku ya tatu sasa.
Massive protests calling on Egyptian president Mohamed Morsi to step down continue across Egypt for the third day.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Waandishi wengi wa habari nchini Irani wameanza kublogu kwa sababu magazeti mengi yanaendelea kughasiwa na kufungwa.
In Iran many journalists have turned to blogging to communicate since many newspapers are continually harassed and shut down.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Mauaji ya watu wawili mashuhuri waliokuwa wakipeleleza ufisadi mwaka 2000 na 2001 yanaendelea kutotatuliwa katika macho ya nchi wafadhili.
The murders of two high profile figures investigating corruption in 2000 and 2001 continue unresolved in the eyes of donor countries.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Jambo hili linatokea katika historia ya ukoloni huko nyuma pamoja na ukosefu wa usawa usiokwisha, ambao kwao maslahi ya viongozi yanaendelea kujidumisha
This stems from a distant colonial past and continued persistent inequality, where entrenched elite interests have maintained themselves.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Bila ya shaka, kama vile MobileActive inavyosisitiza, matatizo kadhaa ya miundombinu yanaendelea kuwa kizuizi kwa matumizi makubwa ya mfumo huo:
Of course, as MobileActive also stresses, some problems with local infrastructure remain an obstacle to the widespread adoption of such systems:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Maswali bado yanaendelea kuibuliwa endapo Meja Hassan alikuwa mwenye siasa kali na ambaye alifanya mashambulizi hayo kwa msukumo wa itikadi ya kidini au labda tu alikuwa na tatizo la kiakili.
Questions are still being raised as to whether Major Hasan was an extremist who carried out the attack based on religious ideology or he was simply mentally ill.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Na maneno ya kuhimidi yanaendelea na Cryton Chikoko ambaye anaandika katika nafsi ya tatu kwa kutumia jina la bandia la “Rambler”:
And words of awe continue with Cryton Chikoko, who writes in the third person with the alias "Rambler":
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
Na katika jiji la San Cristóbal, mji mkuu wa jimbo la Táchira state, mapambano kati ya wanafunzi wa chuo kikuu na vikosi vya ulinzi vya Venezuela bado yanaendelea.
And in San Cristóbal, capital city of Táchira state, the clash between university students and the Venezuela National Guard forces still continue.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Mwaka 2011, serikali iliwatia kizuizini na kuwashitaki waandishi wa habari zaidi ya 12 kwa makosa ya kigaidi ya kutengenezwa, matukio yaliyokuwa yanaendelea tangu mwaka 2005.
In 2011, the government arrested and prosecuted more than 12 journalists on sham terrorism charges, an act that has become routine since 2005.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Bango linasomeka: "Mapinduzi yanaendelea; Morsi atarudi," lilionekana kwenye eneo la Giza asubuhi ya leo.
A banner which reads: "The revolution continues; Morsi will be back," seen in Giza this morning.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
Hii ni sababu ambayo Reuters ilitoa usaidizi wa kiini katika miaka yetu mitatu ya kwanza, na sababu ambayo mashirika mengi ya habari yanaendelea kufanya kazi na wahariri wet una kuwasiliana na watu wanaojitolea kwa ajili ya mahojiano.
This is why Reuters provided critical core support in our first three years, and why a many news organizations continue to work with our editors and to contact our volunteers for interviews.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Mamlaka nchini Urusi yanaendelea kuchunguza ajali ya treni la "Nevsky Express" ambayo ilitokea kati ya Moscow na St Petersburg usiku wa Ijumaa.
Russian authorities continue to investigate the crash of the train "Nevsky Express" that happened between Moscow and St. Petersburg on Friday night.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование