Вы искали: a peaceful life (Английский - Суахили)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

English

Swahili

Информация

English

a peaceful life

Swahili

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Английский

Суахили

Информация

Английский

women and children during a peaceful sit-in.

Суахили

wanawake na watoto wakati wa maandamano ya pamoja ya kuishinikiza serikali kusikiliza matakwa yao.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

in 2006, he was arrested for taking part in a peaceful protest.

Суахили

mwaka 2006, alikamatwa kwa kushiriki mandamano ya amani.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

not because of bashar al assad, because we are a peaceful people.

Суахили

sio kwa sababu ya bashar al assad, sababu ni kuwa, sisi ni watu wenye amani.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

literature teaches us that we should organise elections against a peaceful backdrop.

Суахили

fasihi inatufundisha kwamba lazima tuandae uchaguzi kubadilisha mambo.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

tanzania's reputation as a peaceful country is indeed becoming increasingly questionable with these recent events.

Суахили

sifa ya tanzania kama nchi ya amani inaendelea kumomonyoka kwa kasi kufuatia matukio haya ya hivi karibuni.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

and they have to be willing to go out into the streets and reclaim it in a peaceful fashion," janowitz says.

Суахили

hivyo, wanalazimika kwenda mitaani na kuitafuta amani kwa njia ya utulivu," anasema janowitz.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Английский

organizers urged those attending to make it a peaceful one, and this became a rallying cry in some areas of the city on tuesday.

Суахили

waandalizi waliwataka wahudhuriaji wayafanye (maandamano) yawe ya amani, na huo ndio uliokuwa wito mkuu katika baadhi ya maeneo ya jiji siku ya jumanne.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

participants in windows programs go through experiences that promote conflict transformation among both peoples, towards a peaceful reality with which both sides can live.

Суахили

washiriki wa programu za dirisha wanapitia uzoefu ambao unatetea mabadiliko katika mgogoro kati ya jamii hizo mbili, kuelekea kwenye ukweli wa amani ambamo kila upande wanaweza kuishi.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

eight years, three hundred and five days ago a peaceful coup masterminded by a pakistani army general overtook the reigns of power from the then ruling corrupt leader nawaz sharif.

Суахили

imepita miaka nane, siku mia tatu na ushee tangu mapinduzi yasiyo ya kumwaga damu yaliyoongozwa na jenerali wa jeshi la pakistani yalipofanyika na hivyo kumpokonya madaraka kiongozi fisadi nawaz sharif.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

if a woman fears aversion from her husband, or ill treatment, there is no harm if they make a peaceful settlement; and peace is an excellent thing.

Суахили

na mwanamke akichelea kutupwa au kutojaliwa na mumewe, basi si vibaya kwao wakisikizana kwa suluhu. na suluhu ni bora.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Английский

and we made mary's son, and his mother, a sign, and we gave them refuge on a lofty ground, a peaceful site with springs flowing in it.

Суахили

na tukamfanya mwana wa mariamu na mama yake kuwa ni ishara, na tukawapa makimbilio kwenda mahali palipo inuka penye utulivu na chemchem za maji.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Английский

when abraham said, “o my lord, make this a peaceful land, and provide its people with fruits—whoever of them believes in god and the last day.”

Суахили

na alipo sema ibrahim: ee mola wangu mlezi! ufanye huu uwe mji wa amani, na uwaruzuku watu wake matunda, wale wanao muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Английский

while the outside world appears unanimous in its praise for outgoing senegalese president abdoulaye wade and democracy after a peaceful election outcome in march 2012, the senegalese blogosphere has been more critical of former president wade's record.

Суахили

wakati ulimwengu wa nje ya senegali unaonekana kushabihiana katika kumwagia sifa kemkem rais wa senegali anayeondoka abdoulaye wade pamoja na kupongeza demokrasia iliyochukua nafasi baada ya matokeo ya uchaguzi uliojidhihirisha kuwa wa amani mwezi machi 2012, ulimwengu wa blogu nchini humo umekuwa mkosoaji mkubwa wa rekodi ya rais wade.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

(muhammad), consider when abraham prayed, "lord, make this (mecca) a peaceful territory and save me and my offspring from worshipping idols.

Суахили

na ibrahim alipo sema: ewe mola wangu mlezi! ujaalie mji huu uwe wa amani, na uniepushe mimi na wanangu na kuabudu masanamu.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Английский

then after grief, he sent down a peaceful slumber (calm), which engulfed a group among you – and another party kept fearing for their own lives, thinking wrongfully of allah – like the thoughts of ignorance; they say, “do we have any authority in this matter?”

Суахили

kisha baada ya dhiki alikuteremshieni utulivu - usingizi ambao ulifunika kundi moja kati yenu. na kundi jengine nafsi zao ziliwashughulisha hata wakamdhania mwenyezi mungu dhana isiyo kuwa ya haki, dhana ya kijinga.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,747,274,202 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK