Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
konstantin khabensky is one of russia’s most famous actors.
konstantin khabensky ni mmoja wapo wa waigizaji maarufu zaidi nchini urusi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
in many countries, political statements by actors that criticize a sitting president are a perfectly ordinary occurrence.
katika nchi nyingi, matamshi ya kisiasa yanayomkosoa rais aliyeko madarakani ni jambo la kawaida.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
we are spending so much to bring in the nigerian actors becoz we didnt have a zambian star who was known to the whole continent.
tunaingia gharama kubwa sana kuwatumia waigizaji kutoka nigeria kwa sababu hatukuwa na mzambia mwenye sifa za kinyota aliyefahamika katika bara zima.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
besides khan, a whole slew of bollywood actors and filmmakers have volunteered their time for various election mobilization and awarness programs.
zaidi ya khan, kundi lote la wacheza filamu na watengeneza filamu wa bollywood wamejitolea muda wao kwenye programu mbalimbali za kuhamasisha na kuelimisha umma.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
what could be the driving force that has prompted so many bollywood actors to step out of their comfort zone and do their bit for this indian election campaign?
ni nini kinachowasukuma waigizaji wengi wa bollywood kutoka kwenye nyanja walizozoea na kutoa michango yao kwenye kampeni za uchaguzi huu wa india?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
"it is seen that all internal and external peace actors are visibly performing against the ethics of peace process and bouncing beyond the edge of comprehensive peace accord.
“inaonekana kuwa watendaji wa ndani na wa nje wanaonekana wazi jinsi wanavyopinga maadili ya mchakato wa amani na jinsi wanavyodunda mbali na ukingo wa mkataba wa amani.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
it’s a high time for our guys like vincent kigosi and others to go on with this good thing kanumba started; we still have good actors and actresses who can take us to the next level.
uki comment (ukitoa maoni yako) naomba ujue nilikuwepo eneo la tukio kuanzia home (nyumbani) kupeleka maiti hosp na kurudi kwake sinza,kwa ujumla sijalala,
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
krishna hari pushkar, who works for nepal's ministry of home affairs, puts part of the blame for the faltering peace process on "foreign actors":
krishna hari pushkar, amabye anafanya kazi katika wizara ya mambo ya ndani ya nepal, anaziweka baadhi ya lawama za mchakato wa amani unaoweweseka kwa “watendaji wa kigeni”:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование