Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
daniel hongramngaye from chad, also draws a parallel between niger and his own country at the blog makaïla :
daniel hongramngaye kutoka chad, pia anaonyesha yale yanayofanana kati ya niger na nchi yake katika blogu ya makaïla :
boko haram assaulted bosso and diffa, two towns in southeast niger at the border with nigeria but was repelled by niger and chad's army.
boko haram walishambulia bosso na diffa, miji miwili iliyo kusini mashariki mwa naija kwenye mpaka wa nchi hiyo na naijeria lakini walirudishwa nyuma na majeshi ya chad na naija.
current or recent leaders in burkina faso, chad, gabon, guinea, namibia, togo, uganda and algeria are among those who successfully changed term limit requirements in order to prolong their time in office.
watawala wa sasa au wa hivi karibuni nchini burkina faso, chad, gabon, guinea, namibia, togo, uganda na aljeria ni miongoni mwa wale walifanikiwa kuondoa ukomo wa madaraka ili kuwawezesha kuendelea kuwa madarakani.