Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
the maximum chilean court ruled to partially annul the trial that convicted them.
mahakama kuu ya chile ilisimamia katika kuharakisha uchunguzi uliopelekea hukumu yao.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
chilean blogger juan guillermo tejeda writes about some of the details of the meeting :
bloga wa kichile juan guillermo tedeja anaandika kuhusu baadhi ya yaliyojiri kwenye mkutano huo :
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
however, the lawlessness that ensued after the quake also left chileans with a moral question: is chilean society a just one?
hata hivyo, uvunjaji sheria uliojitokeza baada ya tetemeko pia uliwaacha watu wa chile na swali la kimaadili: je jamii ya chile ina usawa?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
yesterday, october 25, the four mapuche prisoners decided to abandon their protest after the chilean supreme court decided to comply with some of their demands.
jana, oktoba 25, wafungwa wanne wa gereza la mapuche waliamua kusitisha kususia kula mara baada ya mahakama kuu ya chile kukubaliana na baadhi ya matakwa yao.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
chilean tv stations brought this reality to the homes of millions in a fairly accurate fashion , and so chileans saw how some helped themselves to plasma tvs, refrigerators, and dvd players.
vituo vya televisheni vya chile viliufikisha ukweli huu kwenye mamilioni ya ngumba kwa mtindo sahihi , na hivyo wachile walijionea jinsi baadhi walivyojisaidia kuchukua televisheni za kisasa za plasma, majokofu na vichezea dvd.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
nevertheless, a minority, however small, looted non-essentials, robbed homes, and intentionally set fire to department stores, despite the fact that the chilean government allowed people to take essentials, such as milk, baby formula, bread, and flour.
hata hivyo, kuna wachache, bila kujali ni wachache kiasi gani, walipora vifaa na mahitaji yasiyo ya msingi, walifanya ujambazi majumbani, na kwa makusudi walichoma moto maduka, bila kujali ukweli kwamba serikali ya chile iliruhusu watu kuchukua mahitaji, kama vile maziwa, maziwa ya unga ya watoto, mikate na unga.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: