Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
civic
kiraia
Последнее обновление: 2019-01-20
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
civic expense
gharama za umma
Последнее обновление: 2024-06-12
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
from facebook page: civic referendum
kutoka katika ukurasa wa facebook: civic referendum
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
government said it was a civic duty.
serikali ilisema kuwa hilo ni jukumu la kiraia.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
or will they manage to translate technology into true civic engagement?
au wataweza kutafsiri tekenolojia kuwa ushirikishwaji wa umma wa kweli?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
- romeo rodriguez, coordinator for xela civic libraries guatemala (winner from 2012)
- romeo rodriguez, mratibu wa mradi wa xela civic libraries guatemala (mshindi wa 2012)
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
therefore, this man deserves respect and support by all of us who believe in the power of civic action.
kwa hiyo, mzee huyu anastahili haki na msaada kutoka kwetu sote tunaoamini katika nguvu ya hatua za kiraia.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
by introducing the law, emphasizing the one-sided civic duty, while weakening the government responsibilties.
kwa kuanzisha sheria hii, serikali inasisitiza uwajibikaji wa upande mmoja, yaani jukumu la wananchi, lakini kwa upande mwingine inadumaza majukumu ya serikali.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
we thank you in advance for your efforts in responding quickly and with full transparency, to our very respectful and civic request.
tunatanguliza shukrani kwa jitihada zako katika kujibu maombi haya ya heshima na kiraia mapema na kwa uwazi unatakiwa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
but we also see a growing online discussion about what can be done to curb corruption, promote transparency, and increase civic engagement.
lakini pia tunauona mjadala wa mtandaoni unaokua juu ya nini kinachoweza kufanywa kuzuia rushwa, kutangaza uwazi na kuongeza makabiliano ya kijamii.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
no doubt these people are being sprayed pink so that police can harrass and interrogate them and abuse them in the effort to crush their spirit of civic duty and freedom of expression!
bila ya shaka watu hawa wananyunyuziwa rangi ya waridi ili polisi waweze kuwanyanyapaa na kuwahoji na kuwaonea wakati wanajaribu kuvunja moyo wao wa jukumu la kiraia na uhuru wa kujieleza!
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
facebook user leung chau ming was queued outside one of the polling stations on march 23; he described the touching scene on the facebook page of the civic referendum event:
mtumiaji wa facebook leung chau ming aliyekuwa kwenye mstari wa kusubiri zamu nje ya moja ya vituo vya kupigia kura mnamo tarehe 23 machi; alieleza namna alivyoguswa na yale aliyoyaona kupitia ukurasa wa facebook wa tukio la kura ya maoni:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
civic leader elizabeth mateo, popularly known as the leader of the fight to get 4% of gdp spent on education, published the following on twitter:
kiongozi wa kisiasa elizabeth mateo, maarufu kama kiongozi wa kupigania asilimia 4 ya pato la taifa itumike kwa elimu, aliandika yafuatayo kwenye mtandao wa twita:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
finally, el periodista cívico (the civic journal) has been curating information about the national demonstrations, highlighting regular updates about protesters who are under arrest in various venezuelan regions.
mwisho, el periodista cívico (mwandishi wa haki za raia) amekuwa akiandika habari kuhusu maandamano hayo ya kitaifa, akiweka habari mpya kuhusu waandamanaji waliokuwa wamewekwa kizuizini katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
similar to tanzania mainland, election manifestos, pictures and videos of the campaign rallies are on display on the websites of the zanzibar’s ccm presidential candidate dr ali mohamed shein as well as on his main opposition contender maalim seif sharif hamad from the civic united front (cuf).
kama ilivyo upande wa tanzania bara, ilani za uchaguzi, picha na video za mikutano ya kampeni nazo zimetundikwa kwenye tovuti za mgombea urais wa zanzibar wa chama cha ccm dkt. ali mohamed shein na vilevile zile za mpinzani wake mkubwa, maalim seif sharif hamadwa chama cha wananchi (cuf).
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: