Вы искали: deported (Английский - Суахили)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

English

Swahili

Информация

English

deported

Swahili

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Английский

Суахили

Информация

Английский

hanani was originally from nablus and was deported to gaza as one of the prisoners freed in the prisoner swap deal a few months ago.

Суахили

hanani alitokea nablus kwa asili na alihamishiwa gaza kama mmoja wa wafungwa walioachiwa huru katika mpango wa kubadilishana wafungwa miezi michache iliyopita. katika kujibu mashambulizi, vikundi vya ulinzi vya ki-palestina vilivyo kwenye ukanda wa gaza vililipua mabomu kuelekea israel, bila kudhuru mtu yeyote.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

honestly thought they were complying with regulations, but were interrogated and deported with almost no time to pack or to say goodbye to the children.

Суахили

kwa kweli walifikiri kuwa wanafuata utaratibu, lakini walihojiwa na kufukuzwa nchini bila ya muda wa kufungasha na kusema kwa heri kwa watoto.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

one reader, jay jay, raised the issue of a catholic priest who was deported from zambia, apparently because he did not have legitimate papers:

Суахили

msomaji mmoja, jay jay, aliibuasuala la padre mkatoliki aliyefurushwa kutoka nchini zambia, kwa sababu ya kile kilichoelezwa kwamba hakuwa na vibali vyote vinavyohitajika:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

last week, 20 staff members of the village of hope, a small orphanage in a small town in rural morocco, were deported from the country without warning, under charges of proselytizing.

Суахили

wiki iliyopita, wafanyakazi 20 wa kijiji cha matumaini, makazi madogo ya yatima katika mji mdogo wa moroko vijijini, waliondolewa (walifukuzwa) nchini bila onyo, kwa madai ya kuhubiri dini.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

you know what the law has an annoying habit, of coming back to bite you especially for those politicians who like cutting corners like buffoon kambwili, remember this is the month in which a rwandan priest was deported for not having a permit; if the priest’s zambian members of his congregation in chipata asked the pf gov’t why they didn’t waive that and let him stay; how would kambwili answer that question

Суахили

mnajua nini, sheria ina mambo ya ajabu sana, ya kuja na kukung'ata hasa kwa wanasiasa wanachokatakata kona kama akina kambwili, tukumbuke kwamba mwezi huuhuu yule padre mnyarwanda alifurushwa kwa sababu ya kukosa vibali; kama wanashirika wazambia wenzake na padre huyo kule chipata wangeomba serikali ya pf kwamba kwa nini wasingeachana na jambo hilo na kumruhusu kuendelea kubaki; je, kambwili angewajibu vipi swali hilo?

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,781,616,626 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK