Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
the serious and terrifying cases of embezzlement among others, merit papal attention.
kuna kesi za kutisha za ufujaji ambazo zinabidi kutupiwa macho na papa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
however, ever since the start of the scheme, reports of embezzlement of food meant for children have consistently surfaced.
hata hivyo, tangu kuanza kwa utaratibu huu, kumekuwa na taarifa za wazi za ubadhirifu wa chakula kilichokusudiwa kwa wanafunzi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
in 2006, three ministers lost their posts after it was reported that they were involved in embezzlement of funds from the health sector.
mwaka 2006, mawaziri watatu walipoteza nyadhifa zao baada ya kuripotiwa kuwa walihusishwa na ufujaji wa fedha katika idara ya afya.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
the recent trial of managers of mozambican airports, a state enterprise, for embezzlement of millions of dollars of state monies reminded that corruption continues to occur at a high level.
kesi za hivi karibuni za mameneja wa viwanja vya ndege vya msumbiji, kufujwa kwa mamilioni ya dola ya fedha za taifa vilikumbusha kuwa ufisadi unaendelea kutokea katika ngazi za juu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: