Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
what's next for the #euromaidan movement?
kipi kinafuata kwenye vuguvugu la maaandamano ya ukraine?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
https://twitter.com/rm867/lists/ukraine-euromaidan
https://twitter.com/rm867/lists/ukraine-euromaidan
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
this post is part of our special coverage on ukraine's #euromaidan protests.
posti hii ni sehemu ya habari zetu maalumu kuhusu ghasia za ukraine.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
euromaidan volunteer translators are busier than ever, translating as many updates from the scene of the protests.
watafsiri wa kujitolea wa euromaidan wamekabiliwa na shughuli nyingi kuliko ilivyowahi kuwa, wakitafsiri habari mpya nyingi kadri iwezekanavyo kutoka kwenye maeneo yanakofanyikia maandamano.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
updates from the organizers of the protests, dubbed euromaidan headquarters, can be followed on their facebook account in english:
habari mpya kutoka kwa waandaaji wa maandamano, waliopewa jina la utani la "makao makuu ya euromaian", wanaweza kufuatiliwa katika ukurasa wao wa facebook katika lugha ya kiingereza:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
ustream has recently supported three live channels broadcasting from ukraine's #euromaidan protests, including the popular channel spilno.tv.
hivi karibuni ustream imesaidia chaneli tatu za moja kwa moja kutoka kwenye maandamano ya ukraine , ikiwa ni pamoja na chaneli maarufu ya spilno.tv.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
the move was backed by the nearly three-months-old euromaidan movement, which has been protesting daily in several cities throughout ukraine demanding that the government of president viktor yanukovych step down.
hatua hiyo iliungwa mkono na harakati za euromaidan ambazo kwa sasa zimetimiza miezi mitatu, ambazo zinaendesha maandamanokila siku kwenye majiji kadhaa kote nchini ukraine kudai serikali ya rais viktor yanukovych kuondoka madarakani.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
english-language tweets about “maidan” or “kiev” or “euromaidan” or "kyiv" (orange) versus tweets about “sochi” or the “olympics” (blue).
english-language tweets about “maidan” or “kiev” or “euromaidan” or "kyiv" (orange) versus tweets about “sochi” or the “olympics” (blue).
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование