Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
he is the creator, the designer, the modeler, and to him belong all virtuous names.
yeye ndiye mwenyezi mungu, muumbaji, mtengenezaji, mtia sura, mwenye majina mazuri kabisa.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
he is god; the creator, the maker, the designer. his are the most beautiful names.
yeye ndiye mwenyezi mungu, muumbaji, mtengenezaji, mtia sura, mwenye majina mazuri kabisa.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
image of protesters from the first march of part-time and freelance workers in macedonia, december 2014.
picha ya maandamano yaliyohusu kazi za mikataba ya muda na wale walio na ajira zaidi ya moja nchini makedonia, tarehe 24, desemba.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
upon her return, she decided not to work for state media, opting instead to freelance for various media organizations.
aliporejea, aliamua kutokufanya kazi na vyombo vya habari vya serikali, badala yake, aliamua kufanya kazi na mashirika mbalimbali ya habari kama mwandishi huru.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
karthik shashidhar, a freelance management consultant and data scientist, shares interesting statistics from the national family health survey.
karthik shashidhar, mshauri huru wa utawala na mwanasayansi wa takwimu, anaonesha takwimu kutoka kwenye utafiti wa kitaifa wa afya ya familia.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
a former freelance editorial cartoonist for far eastern economic review from 1997-1999, bun heang ung presently lives in australia.
aliyekuwa mchoraji huru wa picha za vikaragosi wa jarida la uchumi la mashariki ya mbali tokea mwaka 1997 - 1999, bun heang ung anaishi australia hivi sasa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
due to ambiguities in the new regulation and lack of coordination between government agencies in implementing the new law, payment of fees for part-time and freelance work for certain categories of workers were blocked in the last days of january.
kutokana na sintofahamu iliyopo katika sheria hii mpya na kukosekana kwa mawasiliano mazuri miongoni mwa vyombo husika vya serikali katika kutekeleza sheria hii, malipo ya ada ya kufanya kazi isiyo ya mkataba wa kudumu pamoja na baadhi ya wafanyakazi walio na mwajiri zaidi ya mmoja walizuiwa katika tarehe za mwisho za mwezi januari.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
and it is surprising when, on the contrary, someone sees their dream come true, those who succeed through music, those who build a career in a factory, those who study and set up a freelance profession.
na pia, inashangaza, kwa upande mwingine, pale mtu anapoona kuwa ndoto zake zimekamilika, and it is surprising when, on the contrary, someone sees their dream come true, wale waliofaninikwa kupia mziki, wale waliojijengea ujuzi viwandani, wale waliosoma na kuweza kujiajiri.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
#burundicoup #nkurunzizaplaylist if i could turn back the hands of time _bar_ r.kelly. — odokonyero (@odokent) may 13, 2015 elizabeth paulat, a freelance journalist based in kampala, uganda, chose british singer-songwriter imogen heap:
elizabeth paulat, mwandishi wa habari wa kujitegemea aishie kampala, uganda, alichagua wimbo wa mtunzi wa nyimbo mwingereza imogen heap:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.