Вы искали: fundamental (Английский - Суахили)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

English

Swahili

Информация

English

fundamental

Swahili

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Английский

Суахили

Информация

Английский

image courtesy of the fundamental rights agency, used with permission.

Суахили

picha kwa hisani ya shirika la haki za msingi, imetumika kwa ruhusa.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

the universal human right to free expression is fundamental to our mission.

Суахили

haki ya binadamu ya kimataifa ya uhuru wa kujieleza ndiyo kipau mbele chetu katika dira yetu.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

one of the most fundamental freedoms is, i believe, the freedom of speech.

Суахили

moja ya uhuru wa msingi, ninaamini, ni uhuru wa maoni.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

this practice is a severe violation of the most fundamental rights of the child.'

Суахили

kitendohiki ni ukiukwaji mkubwa wa haki za msingi za mtoto.'

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

photo from the facebook page of fundamental rights agency (fra), used with permission.

Суахили

picha kutoka ukurasa wa facebook fundamental rights agency (fra), kutumika kwa ruhusa.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

the issue of accessing pure and affordable water is a fundamental human right but this is not given the much needed attention.

Суахили

suala la upatikanaji wa maji safi na kwa bei nafuu ni haki ya kibinadamu lakini hii haijapewa kipaumbele inavyohitajika sana.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

persecuting and prosecuting people for dissenting or for criticising the government goes against the very fundamental principle of democracy and accountability of government.

Суахили

kuwatesa na kuwashitaki watu kwa kutokukubaliana au kuikosoa serikali ni kinyume na misingi ya demokrasia na uwajibikaji wa serikali.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

a further fundamental measure in pandemic dynamics is the length of time from infection to when a person is infectious to others and the mean duration of infectiousness.

Суахили

kipimo kingine cha kimsingi katika masuala ya janga kubwa ni kiwango cha muda kuanzia wakati wa kuambukizwa hadi wakati mtu anaweza kuwaambukiza wengine na kipindi cha wastani cha uwezo wa kuambukizana.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Английский

by shutting down internet and messaging services and blocking websites, congolese authorities are denying citizens their fundamental right to communicate and to receive and impart information

Суахили

kwa kuzima mtandao wa intaneti na huduma za ujumbe mfupi wa maandishi na kufunga tovuti, serikali ya kongo inawanyima raia haki zao za msingi za kuwasiliana na kupokea na kusambaza taarifa

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

it's worth reproducing in full here because everything global voices does today continues to be driven by these fundamental values:

Суахили

ni muhimu kuiweka (ilani hiyo) tena hapa katika ujumla wake kwani kila kitu ambacho global voices inakifanya leo hii kinaendelea kuendeshwa na maadili hayo ya msingi:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

it should be borne in mind that protection of the confidentiality of sources is a fundamental principle of journalism, one that is particular appropriate for such a sensitive issue as corruption in the coffee and cocoa trade.

Суахили

ni lazima itambuliwe kwamba kuweka siri ya vyanzo vya habari ni kanuni ya msingi katika taaluma ya uandishi wa habari, na hasa katika suala nyeti sana kama hilo linalohusisha ufisadi katika biashara ya kahawa na kokoa.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

we maintain our demands for external control over the members of the moi, for fundamental reform of the special forces, and for humanization of the profession of policeman, through engaging policemen in work beneficial to society.

Суахили

tungali tukisisitiza madai yetu kwa hatua zaidi za kudhibiti wafanyakazi wa moi, kwa ajili ya mageuzi ya kimsingi ya vikosi maalum, na kwa ajili ya kuifanya taaluma ya polisi kuingiwa na ubinadamu, kwa kuwashirikisha polisi kazi zenye manufaa kwa jamii.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

on march 5, the european union agency for fundamental rights (fra) published the results of a survey on violence against women , the most comprehensive of its kind ever conducted.

Суахили

machi 5, umoja wa shirika la ulaya kwa haki za msingi (fra) ilichapisha matokeo ya utafiti juu ya unyanyasaji dhidi ya wanawake, uliokuwa wa kina zaidi na wa aina yake kuwahi kufanywa.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

[this is] a book, with verses which are fundamental [in nature], and then expounded in detail by one who is all wise and all aware.

Суахили

hiki ni kitabu ambacho aya zake zimewekwa wazi, kisha zikapambanuliwa, kilicho toka kwa mwenye hikima na mwenye khabari,

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Английский

examples of structures and fundamentals

Суахили

mifano ya miundo misingi

Последнее обновление: 2023-06-09
Частота использования: 5
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,800,490,981 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK