Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
harmony
kupatana
Последнее обновление: 2016-05-31
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
who hath created seven heavens in harmony.
aliye umba mbingu saba kwa matabaka.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
see ye not how allah hath created seven heavens in harmony,
kwani hamwoni jinsi mwenyezi mungu alivyo ziumba mbingu saba kwa matabaka?
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
happens is when what you think what you say and what you do are in harmony
hutokea wakati kile unachofikiri unachosema na unachofanya kinapatana
Последнее обновление: 2022-01-02
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
but i can't succeed if thai people are not together in harmony.
lakini siwezi kufaulu kama watu wa thai hawana mshikamano.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
muslims and christians have been living side by side for centuries with harmony and we will live like this forever.
waislamu na wakristo wamekuwa na mahusiano ya karibu kwa karne na wataishi hivyo daima.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
i personally think it's good and want to see harmony in every area of thailand."
binafsi, nafikiri ni jambo jema na ninataka kuona mshikamano kila mahali nchini thailand.”
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
i have cherished the ideal of a democratic and free society in which all persons live together in harmony and with equal opportunities.
nimekuwa na ndoto ya jamii ya kidemokrasia na huru ambayo watu wote wanaishi pamoja kwa mshikamano na fursa sawa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
bhutan has been blessed with a sustained, rich cultural heritage and the bhutanese people take pride in upholding a number of essential values including harmony, compassion and patriotism.
bhutan imebarikiwa na endelevu, urithi tajiri wa utamaduni na watu wa bhutanese wana fahari katika kuunga mkono idadi ya maadili muhimu ikiwa ni pamoja na maelewano, huruma na uzalendo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
the forest has been preserved for generations, thanks to the work of people who have lived in harmony with the world around them, by means of ancestral knowledge of resource management and active participation of each community.
misitu imekuwa ikihifadhiwa kwa ajili ya vizazi, shukrani kwa juhudi za watu walioishi kwa amani na ulimwengu uwazungukao, hali iliyochangiwa na maarifa ya mababu zao ya umilikaji wa rasilimali pamoja na ushiriki hai wa kila jamii.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
whether if it is worth it to love this country has something to do with the collective consciousness of this country, whether it shows love, harmony, friendliness and generosity and whether it focuses on the prosperity, justice and civilization.
kwamba ni muhimu kuipenda nchi hii ni suala la dhamira ya jumla ya watu wa nci hii, kwamba inaonyesha upendo, ushirika, urafiki na ukarimu na ikiwa lengo ni mafanikio, haki na ustaarabu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
and has created harmony among their hearts; if you had spent all that is in the earth you could not have created harmony among their hearts, but allah has created harmony among them; indeed he only is almighty, wise.
na lau wewe ungeli toa vyote viliomo duniani usingeli weza kuziunga nyoyo zao, lakini mwenyezi mungu ndiye aliye waunganisha. hakika yeye ndiye mtukufu mwenye nguvu na mwenye hikima.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник: