Вы искали: he fought in the rwandan civil war (Английский - Суахили)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

English

Swahili

Информация

English

he fought in the rwandan civil war

Swahili

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Английский

Суахили

Информация

Английский

since 2003, he has been working for forgiveness, reconciliation and unity in the rwandan diaspora in europe.

Суахили

tangu mwaka 2003, amekuwa akifanya kazi za kuhamasisha watu kusameheana, kuridhiana na kuungana hususana kwa raia wa nchi hiyo waishio ughaibuni barani ulaya.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

ghina is one of thousands of syrian children who are paying a heavy price in the civil war, now in its third year.

Суахили

ghina ni mmoja wa maelfu ya watoto wasyria wanaokabiliana na madhara makubwa yatokanayo na vita vya wenyewe kwa wenyewe, ikiwa katika mwaka wake wa tatu sasa.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

france has not suffered a major terrorist attack since a spate of bombings in the 1990s linked to the civil war in algeria.

Суахили

ufaransa haijakumbwa na shambulio lolote kubwa la ugaidi tangu msukosuko wa mabomu katika miaka ya 1990 iliyohusiana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini aljeria.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

starbucks-idf rumors are bit old rumours even before it opens its branches in egypt ,it was fought in the arab world.

Суахили

uvumi wa starbucks-jeshi la israeli ni uvumi wa siku nyingi hata kabla ya kufungua tawi lake nchini misri, kampuni hiyo ilipingwa na ulimwengu wa waarabu.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

in the eastern democratic republic of congo, where civil war has taken more than four million lives, children as young as six are routinely recruited by militias and taught to kill.

Суахили

huko kongo mashariki, ambapo vita vya wenyewe kwa wenyewe vimesababisha vifo vya zaidi ya watu milioni nne, watoto wadogo, wengine hadi miaka sita tu, walipatiwa mafunzo ya kijeshi na kufundishwa kuua.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

indeed, those who have believed and those who have emigrated and fought in the cause of allah - those expect the mercy of allah.

Суахили

hakika wale walio amini na wale walio hama na wakapigania njia ya mwenyezi mungu, hao ndio wanao taraji rehema za mwenyezi mungu.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Английский

but those who have believed and emigrated and fought in the cause of allah and those who gave shelter and aided - it is they who are the believers, truly.

Суахили

na walio amini wakahama na wakapigana jihadi katika njia ya mwenyezi mungu, na walio toa mahala pa kukaa na wakanusuru, hao ndio waumini wa kweli.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Английский

those who accepted the faith and set out of their homes, and fought in the way of god wealth and soul, and those who gave them shelter and helped them, are friends of one another.

Суахили

hakika wale walio amini na wakahama na wakapigania njia ya mwenyezi mungu kwa mali yao na nafsi zao, na wale walio toa mahala pa kukaa, na wakanusuru, hao ni marafiki na walinzi wao kwa wao.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Английский

the percentage of women in the rwandan parliament, at almost 64 percent, is the highest in the world, according to the inter-parliamentary union's 2014 ranking of 189 countries.

Суахили

idadi ya wanawake kwenye bunge la rwanda, ni asilimia 64, ambayo ni idadi kubwa kuliko kwenye mabunge mengine duniani, kwa mujibu wa orodha ya 2014 ya umoja wa mabunge katika nchi 189.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

it played a role in the signing of the peace agreement that brought an end to decades of civil war in sudan, showed a lot of interest in bringing an end to the wars in the congo region, and helped bring about an end to the civil war in liberia, helping ensure charles taylor’s resignation, and eventual arrest and prosecution.

Суахили

serikali yake ilikuwa na nafasi muhimu katika kusainiwa kwa makubaliano ya amani yaliyomaliza miongo kadhaa ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini sudani, ilionyesha kutaka kumaliza vita katika eneo la kongo, na ilisaidia kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini liberia, ikisaidia kuhakikisha charles taylor anaachia madaraka, na kisha akikamatwa na kushitakiwa.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

those who believed (in the oneness of allah - islamic monotheism) and emigrated and strove hard and fought in allah's cause with their wealth and their lives are far higher in degree with allah.

Суахили

wale walio amini, na wakahama, na wakapigana jihadi katika njia ya mwenyezi mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao wana cheo kikubwa zaidi mbele ya mwenyezi mungu.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Английский

sihanouk is known as a hero of the kingdom of cambodia for his achievements which include the peaceful claiming of the country's independence from the french colonization in 1953, for steering the country's road to prosperity during the sangkum reastr niyum, for winning a case in the international court of justice in 1962 which recognized cambodia's ownership of preah vihear temple near the thai border, and particularly his role in the paris peace agreement in 1991 which marked the end of civil wars that brought peace to the country.

Суахили

sihanouk anajulikana kama shujaa wa dola ya kambodia kutokana na mafanikio yake ambayo ni pamoja na kuipatia uhuru nchi yake kwa njia ya amani kutoka kwa ukoloni wa kifaransa mnamo mwaka 1953, kuiongoza nchi katika njia ya mafanikio wakati wa sangkum reastr niyum kwa kushinda kesi katika mahakama ya kimataifa mnamo mwaka 1962 iliyoifanya kambodia kupata umiliki halali wa hekalu la preah vihear karibu na mpaka wa thai, na haswa haswa jukumu lake kubwa katika mkataba wa amani wa paris mwaka 1991 uliohitimisha vita vya kiraia na hatimaye kuleta amani nchini kambodia.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,774,226,493 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK