Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
then the priest of jupiter, which was before their city, brought oxen and garlands unto the gates, and would have done sacrifice with the people.
naye kuhani wa hekalu la zeu lililokuwa nje ya mji akaleta fahali na shada za maua mbele ya mlango mkuu wa mji, na pamoja na ule umati wa watu akataka kuwatambikia mitume.
and when the townclerk had appeased the people, he said, ye men of ephesus, what man is there that knoweth not how that the city of the ephesians is a worshipper of the great goddess diana, and of the image which fell down from jupiter?
hatimaye karani wa mji alifaulu kuwanyamazisha, akawaambia, "wananchi wa efeso, kila mtu anajua kwamba mji huu wa efeso ni mlinzi wa nyumba ya mungu artemi na mlinzi wa ile sanamu iliyoanguka kutoka mbinguni.